2mbaku
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 316
- 67
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Prince Sabby Rwazo (29) amejivua uanachama na madaraka mengine kutokana na chama hicho kushindwa kuwa na mwelekeo thabiti wa kusaidia Watanzania.
Rwazo alisema kujiondoa kwake ni jambo la kidemokrasia kutokana na chama tawala kukosa dira nzuri ya kuwasaidia Watanzania.
Rwazo ambaye pia ni Mwalimu Shule ya Sekondari ya Bugene alisema kwa muda atakapokuwa nje ya siasa, ataendelea kuwafundisha wanafunzi kwa moyo wote kushiriki shughuli za maendeleo akiwa mwanaharakati wa haki za binadamu pasipo kuvunja sheria za nchi.
Source: Tanzania Daima