Mjukuu wa JPM noma

Anaitwa nani ili tuweke kumbukumbu vizuri?

Hata babu yake anakalili ivoivo.
 
kwa umri wake hana budi kupongezwa, ni wachache kweli. naelekea kukubali sato wa chato na asali ya nyamigogo/ilyamchele inanoa ubongo bara bara!

sijui wanangu wanaoshindia mihogo mikavu kama hata kukalili methali 2 wataweza!
 
Mtoto mdogo HDD iko empty rahisi kukariri vitu.
 
Good!

Mtoto umleavyo ndivyo atakavyokuwa.

Heri ni mzazi anayeujaza ubongo empty wa mwanae mambo ya shule/yale ya maana..!
 
Hiyo 'noma yake iwewezaje kutupeleka katika nchi viwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…