Mjue refa Martin Saanya

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
507
272
Martin Saanya ni refa aliyewahi kuchezesha mechi ya Simba vs Yanga ambayo ilileta utata akafungiwa kwa kushindwa kumudu pambano hilo Either kwa kushindwa kutafsiri sheria au mapenzi.
Siku hiyo Martin alikataa Goli la Ajibu clear na kukubari goli la Mkono la Tambwe.

Hakuishia hapo katika mechi hiyo alimpa kadi nyekundu Jonas Mkude kadi ambayo baadaye tff waliibatilisha, ila alikuja kushangazwa na goli la kona la chakaramu Sinza kichuya.
MAAJABU YA JANA MECHI YA YANGA VS RUVU WAZEE WA MPAPASO NOTO.

JANA HUYO HUYO
AJABU.
Yanga walifanya faulo 18 hakuna kadi hata moja.Ruvu walifanya faulo 17 kadi za njano 5.

NB
HUYO NDIYE MARTIN SAANYA ALIYEWANYIMA GOLI LA HALALI RUVU SHOOTING. TUNAOMBA TFF IANZE NA YEYE MARA MOJA ILI WENGINE WAOGOPE
 
Na ile Kona aliyopiga kichuya na kufunga mojakwamoja ulijiuliza ule mpira kabla ya Kona ilikuaje!! Ilikuaje Kona wakati hakuna mchezaji wa yanga aliye ugusa?
 
Unashangaaajeeeeeee
 
Na ile Kona aliyopiga kichuya na kufunga mojakwamoja ulijiuliza ule mpira kabla ya Kona ilikuaje!! Ilikuaje Kona wakati hakuna mchezaji wa yanga aliye ugusa?
Ile mechi ilikuwa na madudu mengi sana.. Mungu alipita kati tu ikawa droo kulevel mambo
 
Martin Saanya ni refa aliyewahi kuchezesha mechi ya Simba vs Yanga ambayo ilileta utata akafungiwa kwa kushindwa kumudu pambano hilo Either kwa kushindwa kutafsiri sheria au mapenzi.
Siku hiyo Martin alikataa Goli la Ajibu clear na kukubari goli la Mkono la Tambwe.

Hakuishia hapo katika mechi hiyo alimpa kadi nyekundu Jonas Mkude kadi ambayo baadaye tff waliibatilisha, ila alikuja kushangazwa na goli la kona la chakaramu Sinza kichuya.
MAAJABU YA JANA MECHI YA YANGA VS RUVU WAZEE WA MPAPASO NOTO.

JANA HUYO HUYO
AJABU.
Yanga walifanya faulo 18 hakuna kadi hata moja.Ruvu walifanya faulo 17 kadi za njano 5.

NB
HUYO NDIYE MARTIN SAANYA ALIYEWANYIMA GOLI LA HALALI RUVU SHOOTING. TUNAOMBA TFF IANZE NA YEYE MARA MOJA ILI WENGINE WAOGOPE
Huyu refa anataka kuvuruga ligi mapemaaa. Sijui wamemrudisha vipi. Mtu kila siku anvurunda lakini bado anaendelea kushika kipyenga. Ni bora wamumfute kazi ili ajitambue na kutafuta kazi nyingine ya kufanya
 
Kwa mechi ya jana tuwe wakweli tu, Mwamuzicwa kati alijitahidi. Kuhusu hizo kadi inategemea na aina ya faulo mchezaji alivyocheza. Kuhusu lile goli lililokataliwa, mwamuzi wa kati hawezi kuhusika hata siku moja, isipokuwa ni mwamuzi msaidizi nfiye anayeziona offside moja kwa moja! Hivyo mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni.

Na kosa alilofanya mwamuzi msaidizi Janeth Balama lilikuwa ni kuchelewa kuwepo eneo husika alipokuwepo beki wa mwisho wa Yanga wakati mpira ulipopigwa kwa yule mfungaji.
Linaweza kuwa ni kosa la kibinadam au hata makusudi! Maana hata wenzetu wengine hufanya hivyo ingawa lilikua ni goli halali, na hata jana nilikiri hivyo.
 
Sio Vema Mechi za Kiume kuchezeshwa na Marefa wa Kike.
Wanashindwa kwenda, au kukimbia sambamba na Kasi ya wachezaji Wakiume ambao Wana Kasi zaidi yao hivyo kupelekea kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Ukiitazama ile video huyo mdada alikuwa sehemu nzuri na isiyotia mashaka katika kuna kile kilichofanyika. Ila mashaka yapo kwenye maamuzi, kwa nini aliona offside wakati haikuwa hivyo? Kitu gani kilitia malyenge macho yake? Ni kwa nini mwamuzi wa kati awe mrahisi kubatilisha maamuzi yake ya awali ya kulikubali lile goli?
 
Marefa wetu wana uwezo mdogo... hawa madada wakachezeshe ligi ya wanawake
 
Twende haki bin haki... yule mshika kibendera apigwe chini, SANYA asipozibitiwa mapema ataharibu game zingine.
Sjui kama waliofungwa jana ndio wangenyimwa lile goli ingekuwaje?... (maana kwa lawama) hawajambo.
Mmh wanazidi wale jamaa ambao msemaji alibeba Tv ya familia kabisa watoto wakakosa kuangalia Tom and Jerry ili aoneshe ushahidi walivyoonewa mbeke ya wanahabari.
 
Back
Top Bottom