Mjue Nyangumi (Whale): Sifa, uwezo na maisha yake

2-8-12-Whale-Shark_full_600.jpg

b737max7.jpg

th

very good illustration mkuu
 
hiyo ni picha tu na hatuna uthibitisho camera ilicapture ikiwa umbali gani na kumbuka hapo maelezo mengi yanamgusa nyangumi mkubwa size ya mwisho hivyo inawezekana hiyo picha ni ya mtoto wake mkuu

Maelezo yaliyotolewa ni ya nyangumi aina ya Grey whale ambaye ndio aina ya nyangumi wakubwa kuliko species zote za nyangumi. Na kila aina fulani ya nyangumi ina sifa yake mfano pod/killer whale ndiye nyangumi aendaye kina kirefu zaidi ya nyangumi wengine wote kufuata windo lake[11,750 ft deep from the water surface]. Anaitwa the killer coz hana predator mwingine yeyote zaidi ya binadamu tu naye anakula hata nyangumi wenzake.
Na hiyo picha ya juu kabisa katika hizo tatu zilizoambatishwa hayuko katika kundi la nyangumi bali ni jamii ya papa aitwaye whale shark, papa ambao hawana madhara kwa binadamu na ndio papa wakubwa kuliko species zote za papa duniani.
 
hapa ndio unazid kunichanganya
 
MFAHAMU NYANGUMI (WHALE)
1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo

2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu?

3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho?

4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300? Mmoja JIKE alikamatwa na kupimwa alikuwa na kilo 171000kg

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa?

6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpaka mwisho?

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg?

9. Nyangumi anaweza kuishi mpaka kufikia miaka 80?

10.Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni

11. Ukubwa wa nyangumi unaweza kulinganishwa na ndege aina ya Boeing 737

12. Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wa mita30 mpaka 50, ukimuweka ardhini urefu wake ni sawa sawa na urefu utakaojitokeza baada ya kuyapanga magari 9 ya size ya familia, Aliyekamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita33.

13. Nyangumi ndio mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote duniani. Hutoa sauti kali sana ya kipimo cha decibles188 ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita 848.

Ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndege kubwa aina ya jet inapopaa ambayo kipimo cha sauti ya jet ni decibles 120
chanzo hichi cha habari yako umekitoa wapi
 
kwenye sauti iyo fact nmeipenda....lakin nkurekebishe mkuu. jet sound reaches 140 decibles inapoacha ground coz maskio ya mwanadamu hupata maumiv na kuathirika pale sauti inapozidi 130 decibles. wakuu sauti ya binadamu kali kuliko zote inareach only 70 decibles. ha haaa haaa

Niliwahi kuona kwenye kipindi cha tv etv comparison ilikuwa inafanywa kati ya sauti itokanayo na drilling machine wakibomoa zege na sauti ya dada anaimba opera. Amazingly sauti zote ziligonga 120dB
 
Maelezo yaliyotolewa ni ya nyangumi aina ya Grey whale ambaye ndio aina ya nyangumi wakubwa kuliko species zote za nyangumi. Na kila aina fulani ya nyangumi ina sifa yake mfano pod/killer whale ndiye nyangumi aendaye kina kirefu zaidi ya nyangumi wengine wote kufuata windo lake[11,750 ft deep from the water surface]. Anaitwa the killer coz hana predator mwingine yeyote zaidi ya binadamu tu naye anakula hata nyangumi wenzake.
Na hiyo picha ya juu kabisa katika hizo tatu zilizoambatishwa hayuko katika kundi la nyangumi bali ni jamii ya papa aitwaye whale shark, papa ambao hawana madhara kwa binadamu na ndio papa wakubwa kuliko species zote za papa duniani.

Ni grey au blue maana mi ninavyofahamu ni blue whale ndio mnyama mkubwa duniani
 
MFAHAMU NYANGUMI (WHALE)
1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo

2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu?

3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho?

4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300? Mmoja JIKE alikamatwa na kupimwa alikuwa na kilo 171000kg

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa?

6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpaka mwisho?

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg?

9. Nyangumi anaweza kuishi mpaka kufikia miaka 80?

10.Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni

11. Ukubwa wa nyangumi unaweza kulinganishwa na ndege aina ya Boeing 737

12. Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wa mita30 mpaka 50, ukimuweka ardhini urefu wake ni sawa sawa na urefu utakaojitokeza baada ya kuyapanga magari 9 ya size ya familia, Aliyekamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita33.

13. Nyangumi ndio mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote duniani. Hutoa sauti kali sana ya kipimo cha decibles188 ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita 848.

Ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndege kubwa aina ya jet inapopaa ambayo kipimo cha sauti ya jet ni decibles 120

yeleuwiiiiii kinuuuiuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom