Ndoa haina tofauti na uhusiano mwingine wowote. Tofauti ni kuwa mmefungwa na vitabu vya dini na jamii kuachana. Vitu hivyo havunifungi mimi fortunately.
Kwanza hata vitabu vya dini msingi wa talaka ni uzinzi.
Ujinga mtupu! Acheni hoja zakitoto hapa JF. Lets be objective jamani, hizi hisia juu ya wanawake hazina tija. Ni hawahawa wanatoa mimba, wanatupa watoto chooni etc.
Kila kiumbe kina umuhimu wake jua hilo.