Mjue mwanamke

Katika hili sina hatia najitahidi kumheshimuwanamke kwa kweli.
 

Mmmh abarikiwe mke wangu charty .......
Kibo10 habari mkuuu,
 
Last edited by a moderator:
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako

● Ujauzito wako unabadili umbo lake
● Anakua mnene
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.

Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia na wakati mwingine kusakamwa sana na familia yako kwa mambo ambayo umetenda wewe, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.

Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.
 

Tamheshimu kama anavyoniheshimu. Si vizuri kumpa stress mke wako kwa sababu za kipuuzi.
 
Ni sawa lakini??

Shetani anawatumia kupita wajuavyo... Pole yao tuwaombee tu
 
Duh! Siku ukiamka vizuri mwanamke anasifiwa, siku ukiamka vibaya mwanamke analaniwa.
 

Rabish, ndo majukumu yake kwa upande mingine. Viumbe vingine havizai. Lets not kufanya mwanamke big deal. Kila kiumbe kina wajibu wake. Mbona sioti maziwa mie mwanaume. Hizi ni hoja za kipuuzi tena sana kumuona mwanamke ni kiumbe wakipekee hapa duniani.
Mbona wanatutafuta sana nasie wanaume? Kwaufupi, kila kiumbe kinamajukumu yake na hakuna alie zaidi ya mwenzio to be more objective.
 
Hakuna kama mwanamke

Ujinga mtupu! Acheni hoja zakitoto hapa JF. Lets be objective jamani, hizi hisia juu ya wanawake hazina tija. Ni hawahawa wanatoa mimba, wanatupa watoto chooni etc.
Kila kiumbe kina umuhimu wake jua hilo.
 
Mhh makubwa haya kwa hiyo sisi wanaume hatstahili kuthaminiwa tunatafuta kwa jasho mitihan kibao sometime unauza roho kama.mimi mlinzi usiku kicha nalinda si nauza roho tu ye nyumban kalala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…