Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,451
Anaitwa ANTEATER
.
NI moja ya mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kuvuta harufu
.
Kitaalam anaitwa " vermilingua" anaurefu wa 1.5- 2.5 na anauzito wa kg 35 -43, lakini anapua ndefu sana inayofikia 2 feet na ikiwa na misuli mingi sana
.
Anamwili mdogo ila pua na mkia ndio huongeza urefu wake, na mkia wake huwa unanywele nyingi ndefu
.anamacho dhaifu sana ambayo huona kwa mbali sana hivyo mara nyingi hutumia pua
.
Ni moja ya mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kunusa na kuvuta harufu anaweza kuvuta harufu mara 30 zaidi ya binadamu ( yaani ukiwa na pua ya huyu mnyama daah hulali njaa
)
.
Kitaalam tunamwita "edentate" yaani wanyama wasio na meno walao mchwa na siafu (vibogoyoo)
.lakini anakula sana siafu na mchwa na kwasiku moja anakula mpka wadudu 30,000
.
Sasa anachofanya ni kutupia yaani yuko fasta kama umeme c unajua kwamba siafu wang'ata afu wanamjua kwamba huyu ndio israel so huwa wanategeana ,
.anachofanya anatoa ulimi alafu anawanasa kwa haraka na kuwatupia tumboni chap sana
.
Ni mnyama tofauti sana kwenye mmeng'enyo wa chakula yeye anatumia acid inayoitwa FORMIC ACID (hii acid mdudu akiingia tu sekunde 0 kashakufa ni kali sana)
.ila wanyama wengine wao hutumia hydrochloric acid
.
Ni mnyama anayeishi kivyake sana yaani hamna familia wala undugu hvyo hupelekea kuwa mvivu sanaa na hulala masaa 15 - 18 kwa siku
.lakini muda mwingi hukutana na wenzake japo ni mara chache sana na grup lao huitwa "PARADE"
.(kama kabila flani hivi kusign kila mwisho wa mwaka )
.
Muda wa mating dume humfata jike na kabla ya mating huwa wana-andaana sana maana ni moja ya wanyama wenye kiwango kidogo zaidi cha joto 32'c
.na hurudia mara kadhaa kwa siku
.
Jike anashika mimba kwa siku 190 na huzaa mtoto mmoja na mtoto wake hukaa nae mpaka muda ambao mtoto atapata mimba
.ndio hufukuzwa sasa aende kwa baby wake

.
Wanaishi miaka 15 wakiwa porini na wakifugwa hufika miaka 25 adui yao mkubwa ni jaguar
.
VIDEO
.umeona mama yuko na mtoto wake mgongoni wanatafuta chakula usikute dume huko kalalaa tu anakoroma ila uzuri hamna kubebeana chakula

.
Mama hutakiwa kumbeba mtoto kwa muda wa mwaka mmoja yaani dogo atazaliwa na atabebwa kwa mwaka mmoja bila kutembea
.(ingekuwa binadamu sasa daah)