naona saivi kwenye kibox arlet zimekua nyingiii mpaka hatuonekani๐ช๐๐ mbona kufuri ya zipu langu unayo banaa .. twende tukazungukee
๐ nalala na biblia ujue jamanii, mzee wa kanisa ni mie.naona saivi kwenye kibox arlet zimekua nyingiii mpaka hatuonekani๐ช
wew na kama bluetooth tu๐ ๐ unaconnet tu kama devices ipo on,, mi nitazunguka pekeangu wacha nijitafute kwanzaaa
uchomwe tu tena nitajitolea kusogeza kuwa kibaraka wa kuchochea kuni na kukoleza moto๐๐ mbona uta sarendaaa ๐๐๐๐ Jamani jamani tema mate chini, mbona unataka nichomwe moto kwa tuhuma ya uzinzi ..
๐๐ huzugumzii maneno yanaweza sababisha mtu akatoka Kigoma hadi Dar kwa miguu kukufata
siku ya mwisho inawekwa big screen ni kuona matukio ya watu hapo hakuna kufichana fichanaa mambo yote yanakuwa wazi..
๐๐๐ ndio tutaona siku hiyoo mambo ya sirini.. kila jambo litawekwa wazi, nitaomba ikifika session yako waongeze sauti na wazoom vizuri screenuchomwe tu tena nitajitolea kusogeza kuwa kibaraka wa kuchochea kuni na kukoleza moto๐๐ mbona uta sarendaaa ๐๐
hapo kwenye big screen sasa uwih๐ช ila najifaham sijawahi kufanya ufirauni wa kuogofya najua tu kutakuwepo na wadhambi zaidi yangu,, na wakwanza ni wew
nyau wew nimechekaaaaaaaa nahisi unaweza kunga'ng'ania remote wew uwe unafanya na kurewind ili tu nidharirike๐๐๐,,๐๐๐ ndio tutaona siku hiyoo mambo ya sirini.. kila jambo litawekwa wazi, nitaomba ikifika session yako waongeze sauti na wazoom vizuri screen
๐๐๐ sio kushika tu remote, nitaomba ku play slow motion alafu picha iwe 3D 8K au 16K yani hutoboi hapo .nyau wew nimechekaaaaaaaa nahisi unaweza kunga'ng'ania remote wew uwe unafanya na kurewind ili tu nidharirike๐๐๐,,
ikifika zamu yangu tayali wew utakua motoni huwezi kuona kitu,, we ishia tu kunichungulia huku dun-yani
binadam m baya wew sijapata kuona looh๐ช๐๐๐๐ sio kushika tu remote, nitaomba ku play slow motion alafu picha iwe 3D 8K au 16K yani hutoboi hapo .
Utaniongoza huko motoni, siwezi kwenda peke yangu nitakusubiri tufatane
๐๐๐ hiyo tutafana, ujue kuna kukata rufaaa eehbinadam m baya wew sijapata kuona looh๐ช๐
uzuri nishaanza kutubu, huko motoni utaenda pekeako๐
kaanzisha mada na maswaliKafanya nini
mie tena? ๐kaanzisha mada na maswali
mpe maelekezo ๐eh nimefanya nini mie
Mdada wa watu hana shida, kashanielekezampe maelekezo ๐
Bro kwaiyo mie ndio nashida mkuu ,๐ ๐Mdada wa watu hana shida, kashanielekeza
unaonekana tu ๐ ๐ ๐Bro kwaiyo mie ndio nashida mkuu ,๐ ๐