Mjue Dr. Mohamed Gharib Bilal-makamu wa rais wa Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjue Dr. Mohamed Gharib Bilal-makamu wa rais wa Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo Mkuu, Apr 19, 2012.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  [h=1]DR. BILALI-MAKAMU WA RAIS TANZANIA[/h]Dr.Bilali (born Mohamed Gharib Bilal), the nuclear scientist was born in Zanzibar in 1945 , was Chief Minister of Zanzibar from October 1995 to 15 November 2000.
  [h=2] Early life and Career[/h]Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967.

  After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant

  Mohammed Gharib Bilal was a Research Assistant in 1976 until he succeeds to get a PhD in Physics from the University of Carlifonia.
  Later the same year he joined the University of Dar-es-salaam as a lecturer in physics unit.

  In 1983 he was elected head of the Department of Nuclear Physics.
  In 1983 he participated to establish a national organization of radiation and contribute professional the preparation of draft of legislation which led to the law of use and control of the nuclear radiation in Tanzania.
  In 1988 he was appointed head of the Faculty of Science at the University of Dar-es-salaam and continue in office until 1990 when he was appointed Permanent Secretary in the new Ministry of Science Technology and Higher Education in 1990-1995.

  As secretary-general he was involved in starting the process of sharing the costs of higher education and the introduction of credit. Also, the ministry introduced the Open University, along with establishing control over higher education institutions (accreditation council).

  In 1988 Dr Bilal was a project initiator in Zanzibar's science camp aimed at motivating young people studying science and to help all secondary schools in Zanzibar (Unguja and Pemba) Getting equipment to facilitate testing of students to understand science more practical.

  The project eventually was adopted by the Ministry of Education in Zanzibar. The project encouraged many young people to study science and give them the challenge of learning many different topics about Zanzibar environment.
  As a teacher of the University Dr Bilal was able to participate in a board far away, such as the Commission of Science and Technology (COSTECH), Commission of radiation (NRC), chairman of the science panel of the Inter University Council of East Africa and also participated pioneering studies on environmental science (1990).

  Mohammed Gharib Bilal got an opportunity to attend seminars and short courses in various professions, for example, seminars of [atomic agency] ([IAEA]) in 1980 Kwabena, Ghana. 1984/85. Fellowship University of Singapore. Also attended sessions each year with the organization of Atomic.
  [h=2] Political career[/h]In 1995 Dr. Mohammed Gharib Bilal was appointed Chief Minister of the Revolutionary Government of Zanzibar until 2000.
  Dr Bilali has been serving in various positions at Chama Cha Mapinduzi such as a main Board member of National Executive Committee since 1995 and has been Lord of Regional and Urban West Coast Region. He is now the vice-president of the United Repulic of Tanzania, assisting President Jakaya Mrisho Kikwete
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huyu alipaswa kubaki hukohuko kwenye MA-EDUCATION. Kwa shule aliyonayo kuipoteza kwenye siasa kwa kweli siyo poa kabisa. Africa ndivyo ilivyo kuwa BARAZA LA MAWAZIRI LINA MAPROFESA WENGI ZAIDI KULIKO CHUO KIKUU! Ndiyo Afrika na Tanzania ilivyo. Kazi tunayo na safari ni ndefu sana.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kusoma kote huko anakuja kuwa mkata utepe saa zote anatembea na mkasi mfukoni,!!!!
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndo hapo sasa....
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Jamaa nasikia alitaka kuuvunja muungano iwapo angeukwaa urais wa Zanzibar
   
 6. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Yote ya wezekana.. Wakubwa wetu wanatumia masaburi kudadavua matatizo. Mtu kama huyu alitakiwa awe researcher but now a politician!!! Tanzania inchi yangu
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kusoma kote huko anakubali kuwa mzigo wa walipa kodi? Nafasi yake kwa sasa is as good as useless
   
 8. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Mbona hiyo cv yake imeishia njiani? Recently ameteuliwa kuwa chancellor of Nelson Mandela African Instituteof Science and Technology.
  Jana alikuwa anafungua maonyesho ya vyuo vikuu akitoa rai kwa wasomi kufanya utafiti/ubunifu/ufumbuzi utakaotoa majibu kwa matatizo ya watanzania. Swali la kujiuliza ni kwamba yeye kama msomi/scientist ana mchango gani ktk ufumbuzi/ubunifu zaidi ya kugeuka mpiga domo/blahblah (politician) tu?! He's a failure as scientist!!! What a shame!!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mzalendo Mkuu, Kiingereza chako kibovu ungeandika Kiswahili.
   
 10. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anakata uteme kama graduate bwana!!!! Huko ni kuaibisha Dr yake
   
 11. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Yaani amesharizika huyu anasafiri hapa na pale nchini kama mtalii,miaka yote ya kubukua na ujuzi wa kisayansi ameuweka mfukoni.Ndio wazee wetu hao hawataki mambo challenging anakula kwa ubua kwenye vyeo vya kustaafia.
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  mbona speech zake kama ameishia la 3c?
   
 13. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  teh teh teh
  me nahisi hawamtendei haki
   
 14. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh! sasa si arudi UDSM pale akasaidie kufundisha vijana?
   
 15. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  jamani ni ukweli wasomi wengi ikiwemo ww unataka ile pension nadhani ni kubwa kuliko zote ya kisiasa, maana
  unajulikana, unaheshimika, unaitengenezea uraisi wa maisha familia yako na wale uwapendao na huku kwetu Afrika unaweza hata kua Mungu Mtu

  tusimlaumu sana, wako wanasiasa wengi ambao wangeweza kubaki ktk careeer zao na wakawa msaada mkubwa kwa TZ yetu kuliko walivyo sasa ktk siasa
   
 16. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,632
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  uranium yetu hiyooooo inachimbwa na kuondoka huku jamaa akikata mitepe!
   
 17. H

  Huburya Charles Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa CV yake hii ilitakiwa awe mshauri mzuri kwa mkuu wake wa kazi na kama hamsikilizi ajiulu maana maana anapakwenda yaani kufundisha, Nchi kwa sasa haiendi kabisa rais analaumiwa kila kona na yeye yupo nn msaada wake kwa taifa kama msomi mkubwa kiasi hicho?
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Huyu nuclear physicist wetu ana patents ngapi?
   
 19. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi huyu Mh, huwa napata shida kumuelewa hasa kwenye hotuba zake zisizokuwa na mvuto, alilazimishwa hii nafasi yeye alitaka ile ya Zanzibar kwani ina kaeneo kadogo angekamudu.
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Physics na Politics wapi na wapi?
   
Loading...