Mjue Ben Pol

Moyo mashine ni
 
Nyimbo za huyu mwamba zimenisaidia sana katika kuopoa madem namshukuru sana
 
Kidani
Wapo
Mashine
Why ft Harmonize
Muziki ft Darassa
 
KUTOKA KWA UKUNGU HADI KUTAKATA NAMSHUKURU MUNGU KWA KILA BARAKA
 
Anyways, mziki Tanzania haulipi. Tanzania bado ipo nyuma sana kuwekeza kwenye vipaji na sanaa
 
Ben Pol - Pete

hiyo ngoma mwisho wa matatizo
 
Ben pol kafutika kwenye anga la bongo muziki?
Bongo soko lake halipo angekuwa American sawa kule R&B wanaziprnda huku bongo!, singeli na manyimbo yakuchangamka sanaa!.

R&B ukisikikiza watu wanakuona kama unajiona ama unajikuta matawi wakati ni nyimbo kama nyimbo nyengine tu!.. sema zina watu wake.
 
Nimeipenda historia ya ben pol lakini naomba kujua elimu yake hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…