Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,542
Alka Yagnik sio jina maruufu sana hata kwa wale wanaofatilia sana movies kutoka india.
Huyu Mama ndiye muimbaji wa hits kubwa kama kuchi kuchi hota hai (na nyimbo nyinginezo zote za kwenye hiyo movie), Dil Laga liya na nyingine nyingi sana, pia anatajwa kama mmoja wa waimbaji wakubwa kabisa kuwahi kutokea nchini india.
Tofauti na waimbaji wetu wa kibongo, Alka Yagnik ukimsikia akiimba Live uzuri wa sauti yake ni zaidi ya studio version,. Sauti yake imepelekea mauzo ya mabilioni na kumfanya Shahrukh Khan kuwa Tajiri wa kupindukia huku wengi wakiamini ni actors walioimba hizo nyimbo kumbe Sharukh Khan na wenzake wanafanya lip synching tuu.
[/https://youtu.be/tzrcJ9gjIzc] https://youtu.be/tzrcJ9gjIzc[ATTACH=full]1753299[/ATTACH]