Fidelis big
Senior Member
- Aug 31, 2011
- 114
- 34
Jamani kuna vitu vingine vigumu! Kama mjomba alijuta na kuomba msamaha kwa mkeo kwa nini mkeo amshtaki kwako?! Si anagombanisha ndugu?!

Kama kweli mkeo alimkatalia katukatu na kama anayokuambia yote ni ya ukweli basi nampa heko huyo mkeo. Wewe usifanye chochote kwani yeye keshamaliza kila kitu (kama unayosema wewe na aliyokuambia yeye ni ya ukweli).

Na kama ni kweli basi huyo mkeo ni mfano wa kuigwa na wanawake wengine ingawa kuiga iga nayo si nzuri.
Jamani kuna vitu vingine vigumu! Kama mjomba alijuta na kuomba msamaha kwa mkeo kwa nini mkeo amshtaki kwako?! Si anagombanisha ndugu?!

Jamani kuna vitu vingine vigumu! Kama mjomba alijuta na kuomba msamaha kwa mkeo kwa nini mkeo amshtaki kwako?! Si anagombanisha ndugu?!

<br / nyani hii ishu ni ya kweli na wife alitunza zile sms hadi niliporudi, roho inaniuma uncle anaponipigia simu huwa nashindwa kuficha hisia zangu na sijui siku nikikutana naye uso kwa uso itakuwaje! Nilikuwa namuheshimu sana na huwa tunasaidiana katika maisha yetu kama ndugu.

mnh! Dunia ina majaribu hii. Nasononeka sana na hadithi za namna hii.Naombeni ushauri wadau,nilikuwa miangaikoni nje ya mkoa ninaoishi takribani miezi miwili,nikiwa safarini siku moja mjomba(mdogo wake mama yangu tumbo moja) alikwenda arusha kikazi na huko ndo nilipomwacha mke wangu,mjomba alikwenda kuisabai familia yangu mchana ilipofika usiku akaanza kumwandikia mke wangu sms za mapenzi akamtongoza na kumwaidi kuwa endapo atampa penzi angemwambia kitu cha muhimu kuhusu mimi,wife alimkatalia na kumwambia hawazi nisaliti coz ananipenda sana,kesho yake mjomba alirudi nyumbani kwangu akaendelea kumlazimisha wife amkubalie ila alikataa katakata na kumwambia amemchukia milele na nikirudi lazima amshitaki kwangu,mjomba alipoona karata yake imegonga mwamba akabadili mada na kusema alikuwa anamtega ajue msimamo wake kama nimwaminifu kwangu! Na kumsisitiza asinieleze na afute zile sms alizomtumia. Nimerudi arusha wife amenieleza story nzima na zile sms kanionyesha ila amenisii nisimfanye chochote uncle coz ndugu zangu watamuona mchonganishi. Hivyo wadau naombeni ushauri nifanyaje?