katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
bila shaka hamjaelewa swali lake, huyu naye hajawahi kuandika kwa usahihi utafikiri anafukuzwa
bila shaka hamjaelewa swali lake, huyu naye hawahi kuandika kwa usahihi utafikiri anafukuzwa
katoto kazuri rekebisha makosavyakobya uandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
anataka ujiulize hadi sasa umefanikiwa kitu gani maishani mwako as @Mzigua90
Sent using Jamii Forums mobile app
Ako kashkaji kwenye avatar yako kanaitwa kanani??Sina mpango wa kufanya chochote duniani, najivunia aliyofanya baba yangu.
Sitaki kujipa stress za expectations
Retired Domestic TerroristAko kashkaji kwenye avatar yako kanaitwa kanani??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Good Boy..Retired Domestic Terrorist
Huey Freeman
Tafuta 'The Boondocks'. Hutajutia kamweGood Boy..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Wadau wa jf mjiulize hivi hadi sasa nina miaka mingapi na nimefanya kitu gank katika maisha ninachojivunia??
Kama mimi
Mkuu jana nimekapitia kidogo google kumbe nika patriot & Hero hivo.. aisee kama utaweza kunipatia hio utakua umenisaidia...Tafuta 'The Boondocks'. Hutajutia kamwe
Eh