Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Hear say nasikia baba Dully-Latifa mwenyewe anamkandya Zari, Amisa asingeleta ushabiki maandazi hata nyumba angenunuliwa.
Umeona eh! Zari anashindana na huyu mtoto mdogo atamtoa makamasi. Mondi keshachokaaa kupanda ndege south east, east south alimwaga manyanga kitaaaaambo. Huu ujasiri wa Misa ipo sababu. Ukizingatia mondi ana mashaka na mtoto wa kwanza kutoka mwisho oops wa tatu kutoka kwanza anyways huyu anaona aliuziwa mbuzi kwenye gunia. Zari mshari lakini Misa mgomvi changanya mbili moto!
 
Mie namuona mtu poa huyu ila usimparue au kuingia kwenye anga zake. Best ungekuwa wewe limekutokea hili baada ya minong'ong'ono ya muda mrefu ungekaa kimya!? Ila wote hawa bado wanapendana kwa sasa naona pamoja na kuwa penzi limetikisika wataendelea kuwa pamoja lakini ikitokea tena hakutakuwa na msalie mtume.
 
Alipaswa a deal na mzazi mwenziwe sio vijembe kwa mwanamke mwenzie aliyetongozwa km yeye na njaa za mjini hapa ni ngumu kukataa

Situation ya Zari wanawake wengi tumepitia ila tulipambana na wanaume unavyopiga kelele hv unaonekana hovyoo
 
Malipo ni hapa hapa wanawake tunajisahau sana zari alimtesa sana wema alimkashifu sana wema akaona kisa anapesa atamkamata diamond hakujua mwanaume nikama fagio I swear am happy for this siku zote kunya anye kuku akinya bata kaharisha pia huyo mobeto yaonyesha kitandani yupo vizuri zari kitandani bado but ajue mwanaume ni mwanaume usimthamini mwanaume siku yoyote anakubwaga
Goes around comes back harder 30 times na kuzaa juu maana wema si mgumba alivyokua anamuita!!
Na hili picha yaonesha diamond ana mkono wake au familia yake
 
Nachoamini Mimi Diamond hata amrudie zari sio kuwa unampenda no ni kwaajili ya pesa ndio maana siku zote nasema mapenzi ya dhati hayajengwi kwapesa kama yanajengwa kwapesa diamond angetulia hakuna alichokosa
Kweli kabisa kuna pesa na mapenzi
Zari atakua nae ili alinde brand yake Hamisa anampenda na vile mtoto wa kiswazi kwa bed anapajua vzr tu!
 
Umeona eh! Zari anashindana na huyu mtoto mdogo atamtoa makamasi. Mondi keshachokaaa kupanda ndege south east, east south alimwaga manyanga kitaaaaambo. Huu ujasiri wa Misa ipo sababu. Ukizingatia mondi ana mashaka na mtoto wa kwanza kutoka mwisho oops wa tatu kutoka kwanza anyways huyu anaona aliuziwa mbuzi kwenye gunia. Zari mshari lakini Misa mgomvi changanya mbili moto!
arudi akae bongo walee ndoa distance love ni ngumu
 
shoga utaitwa msaga sumu loohh!

Ila wema huko aliko cheko la nguvuuuu
Acha acheke shoga yangu toka lini mwanamke akampenda Mke mwenzie yaani kiukweli zari alimtenda sana mumewe Ivan akaja akamtukana sana wema hakujua kuwa mboo za selengeti boys hazijawahi kumuacha mtu salama yaani kiukweli nikisema namhurumia nitakuwa mnafki hapana chezea diamond
 
879050de11fa16751eebcca9a23b12d2.jpg
 
Acha acheke shoga yangu toka lini mwanamke akampenda Mke mwenzie yaani kiukweli zari alimtenda sana mumewe Ivan akaja akamtukana sana wema hakujua kuwa **** za selengeti boys hazijawahi kumuacha mtu salama yaani kiukweli nikisema namhurumia nitakuwa mnafki hapana chezea diamond
alijiona kafika kigoma mwisho wa reli...mwisho wa siku kakutana na jeuri mwenziee bampa to bampa!

Tena alikua anawarusha roho vibaya loooh!

Kweli KARMA ipo
 
Back
Top Bottom