Mji ya TANGA

uniq

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
5,089
Reaction score
31,086
Leo 18/072018. Maji yanayo toka kwenye mabomba ya mji wa TANGA kweli ni aibuu kwa uongozi wa mkoa mzima.
Nimeamka asubuhi kujianda kwenda kwenye mizunguuko ya siku ile nafungulia maji kweli nitope tupu, haya fai hata kwa mifugo.
Sio mara ya kwanza kwa Maji ya tanga kutoka yakiwa machafu kwenye mabomba. Cha kushangaza huta sikia mtu akitoa tamko.
Sisi wananchi tunaendelea kulipia BILI maji ambayo haya fai kwa matumizi ya binadamu.
Hata siku moja sijawahi kupata barua toka Idara ya Maji Tanga (TANGA UWASA) kuomba MSAMAHA au kuelezea kuwa hakutakuwa na tozo kwa maji ya siku fulani ambayo yalikuwa machafu.

MAJI YA TANGA LEO HAYAFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU. HASA KWENYE KATA YA MABAWA.

Hii ni aobu kwa Jiji la Tanga. TANGA UWASA je hii nisawa kutulipisha bili za maji machafu?????View attachment 812338
 
Subiri dream liner 787 ilete faida kwanza ndio tulete maji safi na salama.

_Jf Mtawangu
 
kama mambo hivi jijini Tanga, basi huko yametoka masafi, huku maji yaliyotoka leo hayana tofauti na grisi na yana harufu kali
 
kama mambo hivi jijini Tanga, basi huko yametoka masafi, huku maji yaliyotoka leo hayana tofauti na grisi na yana harufu kali
Wapi huko mkuu huku Dom mpka now pande za kwetu hakuna maji.

_Jf Mtawangu
 
Tulio chin tutabak chin
Walio juu wataendelea kuwa juu
 
Kinacho umiza sana, jana walikata maji tukatumia maji ya tank then tukaacha bomba wazi ili maji yakirudi ya jaze tank. Yani maji yamerudi yamekwenda kuchafua maji ya kwenye tank.
Bado bili yangu itakuwa pale pale maana sasa na mwaga maji ya tank kwani hayafaii na kwenye bomba nako maji hayafaii. Kweli hii ni karne ya 21.
 
Kama Tanga kuna mauaji ya kawaida. Then hilo tope kwenye maji ni la kawaida. Endeleeni kunywa na mtakufa vifo vya kawaida kabisa.
Kwanza huu uzi ni wa kawaida.
Mkuu wenu wa wilaya keshasema mauaji yanayotokea Tanga ni ya kawaida
 
Kwahiyo hapa wameamua kutumaliza wote tu. Maana itakuwa jambo la kawaida
 
duuuuuh huyu Kitilya PHD simsikii siku hizi ,alianza na gia kubwa saaaaana,hwa viumbe hawa ni shidaaaah saaana
 
duuuuuh huyu Kitilya PHD simsikii siku hizi ,alianza na gia kubwa saaaaana,hwa viumbe hawa ni shidaaaah saaana
Kitilya mwenyewe hawezi mimi nawaza Mkurugenzi wa maji Tanga anafanya kazi gani. Watu leo wanakula vinjesi tu
 
Wagosi wakaya walishakuambia umeme na maji ishakuwa kero .
 
pole sana mkuu.. na bill wanatoa kila mwezi...
 
pole sana mkuu.. na bill wanatoa kila mwezi...
Myoyambendi ya bili kila mwezi wanatoa na hii sio mara kwanza kila wakati wananchi wa Tanga tunalipia maji machafu. Jana tu kuna jamaa alipita kusoma mita.
 
Myoyambendi ya bili kila mwezi wanatoa na hii sio mara kwanza kila wakati wananchi wa Tanga tunalipia maji machafu. Jana tu kuna jamaa alipita kusoma mita.
jamaa wa kigoma katumbuliwa.. na wa hapo asubiri nae kuondoka..
 
jamaa wa kigoma katumbuliwa.. na wa hapo asubiri nae kuondoka..
Bora aondeke maana sasa hivi wanatuibia. Huwezi kulipia huduma isiyofaa. Mimi hili swala na weza kuliita wizi wa serekali kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…