Unafanananisha Wilaya na Mkoa?mi nipo hapa tarime sijawahi kuutamani huo mkoa wa dar
karibu tarime, hutojuta
sasa wewe unafananisha jiji la joto na sehemu yenye hali ya hewa ya baridi kama ulayaUnafanananisha Wilaya na Mkoa?
kumbuka zote ni kanda maalumUnafanananisha Wilaya na Mkoa?
chalii mushambaDar kero nyingi sana. Ukiwa na hela sawa ila sasa wenye hela ni asilimia ndogo sana wengi maisha yakwaida tu.
Juzi nimeona mwanamke amebanwa kwenye mwendokasi mpaka anataka kukata roho analia tu "yesuuuuuu nakufaaaa".
Shida zote hizo za nini?
Hela kiasi gani?Nimeishi mikoa msingi sana, Dar es salaam ukiwa na pesa na kazi binafsi is one of the best city to live...
Ila Dar es salaam bila pesa hapafai hata kidogo, na nikisema pesa simaanishi vihela, hapana.
Ubaya wa Dar es salaam:
1. Ukiwa mwajiriwa hapafai.
2. Kulea watoto sio pazuri.
3. Ni mji wa watu waongo ongo.
Ukiwa na hela kiasi gani?Dar kero nyingi sana. Ukiwa na hela sawa ila sasa wenye hela ni asilimia ndogo sana wengi maisha yakwaida tu.
Juzi nimeona mwanamke amebanwa kwenye mwendokasi mpaka anataka kukata roho analia tu "yesuuuuuu nakufaaaa".
Shida zote hizo za nini?
Jf kuna vituko sana.sasa wewe unafananisha jiji la joto na sehemu yenye hali ya hewa ya baridi kama ulaya
tulia mkuu, tarime ni kitu kingine
Nimezaliwa Dar na kukulia Dar maisha yangu yote na nikatoka nje ya Dar na kuona fursa mbalimbali mikoaniHuu ndio Mji unaotoa hela na kuzitawanyisha Kwa watu wamikoani
Kwa sasa upo wapo mkuuNimezaliwa Dar na kukulia Dar maisha yangu yote na nikatoka nje ya Dar na kuona fursa mbalimbali mikoani
Napingana kabisa na hii kauli yako si lazima wakati wote pesa zinatoka Dar zinaenda mikoani
Tembea ujionee
Wapo waliotoboa nje ya DarHUU mji Ni kama maji vile Usipo yaoga utakunywa au kunawa yaani huwezi kuukimbia.
Nipo DarKwa sasa upo wapo mkuu
Uweze kutokuishi uswahilini, uwe na usafiri binafsi, uweze kutembelea sehemu classic mara kwa mara bila kuwaza.Ukiwa na hela kiasi gani?