Mji wa Bukoba wakumbwa na msongamano wa watu kuliko kawaida

Status
Not open for further replies.
Mbona huu mji hauna majengo?
Hapo ni maeneo ya beach mji wenyewe huu hapo
87534a36982aaf92176b6f9d98142d20.jpg
4c536602f516fa8a21aa7f1ff077d0e4.jpg
mji umejaa ukijani na miti mingi
 
Hahahahaha .. Kutana na kabila linalo iga kila kitu na kulazimisha kutokelezea pembeni ya kabila flani ili tu na wao wazungumzwe hahahahaha... Always Wahaya ni kivuli cha wachaga.. Maana kuwafikia wachaga walipo ni miongo mi3 ijayo.. Yaani ukiangalia hizo picha eti ndio special place watu wameona ndio paku jiachia sikukuu hahahahhaah

Uvaaji ziro, mazingira attraction ziro, watu wametoka vijijin kwa wingi kuja mjini kula sikukuu wanaambiwa eti wamerudi kutoka nje ya mkoa kuja kula sikukui...

Kunatofauti kubwa sana wa wale na nyie... Hahahahha "kivuli kinacho tembea"
Mm una wivu
 
Nawashangaa watu wasiojua kwamba wahaya ni watu wanaoheshimu "roots" kwa kiwango kikubwa! Wahaya huwa hawaendi kupamba magazeti Ubungo stendi kwenye mabasi na kujaza sumatra na trafic kama wachagga!
Nyie mtakua mnapamba vituo vya treni mkuu
 
Shime watanzania woote muwe mnarejea makwenu kipindi cha sikukuu kusherehekea na jamii zenu! Inaleta faraja sana ikizingatiwa mwaka mzima mmekua busy kuchuma sio mbaya mafanikio mkaenda kugawana na wazee kijijini
 
Mbona ni kawaida yao jamani sema mtasema ni misifa lkn Huu utamaduni wa kurudi home upo tangu nimekuwepo nisemee

Ndo maana mwanaume huku akioa kabila lingine anaonekana amepotea maana kurudi kwao itakuwa ni mbinde
Ivi na wewe wa huko?
Nnavyokupendaga kimyakimya,
Mapigo ya moyo yameongezeka aisee,
Ngoja nkaondoe aibu kwanza ntarudi nkuambie kitu kapeace
 
kijijini mno asee ,moshi hakuna vumbi ndo mji msafi namba one tangu nchi ipate uhuru,ikifuatiwa na manispaa ya Iringa mjini,bukoba bado sana haiifikii hata kibaha ,ila ukweli wahaya ni watu wazuri wenye mchango mkubwa kwa nchi yetu na wasomi wazuri ,ila kabukoba bado
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom