Mjenzi wa Nyumba(Bangalow) Anahitajika!

Mjenzi wa Nyumba(Bangalow) Anahitajika!

Marketer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
261
Reaction score
55
Habari zenu!

Kuna mbongo mwenzetu ndo karudi nchini anahitaji mtaalamu wa kumshauri na kumjengea kibangalow cha ukweli (sio ghorofa) mitaa ya Mbweni.

Ramani anayo, sema ni mgeni kidogo baada ya kukaa sana nje huko, so akipata mtaalamu mwenye uzoefu wa kujenga na kununua mavitu ya ujenzi atashukuru sana.

Naomba mrecomend mafundi/wataalamu ambao mnawajua na waaminifu. Nitashukuru sana mkinipa namba zao (Pia hata ukiziweka hapa watapata biashara kwa watu wengine) Then mimi nitampelekea list yeye atawatafuta na kubargain/kuomba quotes zao na kushortlist na mambo kama hayo.

Wasiwe Expensive sanaa ila wawe wanajenga kitu high quality!.

Natanguliza shukrani
 
Check na Kwezi (T) Ltd 0716496520 au 0682445530

EJK engineering works (0655568334)
jamaa anajenga nyumba vizuri sana na ni mwaminifu, anajali kazi ya mtu sana
amemjengea ndugu yangu bila kikwazo chochote kabisa, hautajuta kumtumia katika kazi yako.... bei zake ni nafuu sana
 
Hakuna mwenye bei nzuri na mwaminifu kama huyu. Jina singa wa kona namba 0713301970
 
EJK engineering works (0655568334)
jamaa anajenga nyumba vizuri sana na ni mwaminifu, anajali kazi ya mtu sana
amemjengea ndugu yangu bila kikwazo chochote kabisa, hautajuta kumtumia katika kazi yako.... bei zake ni nafuu sana

Je jamaa anaweza kuwa na architects wake cuz kuna design ya nyumba ghorofa nimependa sasa ningependa kupata architect mzuri wa kunichorea ramani before kuanza kujenga?
 
Back
Top Bottom