Zari alijishitukia tu! Kama utakumbuka, Diamond alisema "...siwezi kuacha kuchezeana na wanawake wakati hii ndo kazi yangu!" Akaendelea ndipo akamalizia "...halafu anatokea kima mmoja...!" Akimaanisha anatokea kima mmoja anataka kumpangia!Ila domo c ndo alianza kumuita zari kima, ndo raha ya kuwa independent , hamisa Hana jeuri ya kumuita domo hivyo , atakula wapi mjini , kodi atalipaješ¤£š¤£š¤£
Mtafanya shutingi sana kwenye majumba ya watu,BOSS wake tu SALAAM hana nyumba ndio kwanza ana mpango wa kujenga nyumba "MBWENI".Mmh hilo jumba la diamond alilopost huko insta ni balaa, hamisa alikua Ana haki ya kuroga aisehš¤£š¤£, hongera bwana chibu, halafu nilisahau kukuwish na Mimi , HAPPY BIRTHDAY [emoji322][emoji323][emoji257]š¤£š¤£š¤£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan alisharudi kwenye uzinduzi wa kombe la dunia?Mmh hilo jumba la diamond alilopost huko insta ni balaa, hamisa alikua Ana haki ya kuroga aisehš¤£š¤£, hongera bwana chibu, halafu nilisahau kukuwish na Mimi , HAPPY BIRTHDAY [emoji322][emoji323][emoji257]š¤£š¤£š¤£
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]kule kwa vimada itakua gesti hausi...halafu kwa staili ile demu gani wa mjini anamkataaaa.Ahahahah nauliza mama final say atahami na huko[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu namjua miye tu huyu akikuchukia jf waiona chunguHahahhahha warumi bana ingekuwa chuki inakushibisha ungekua na kiriba tumbo maana si chuki ya kawaida kwa hamisa.
Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindueIna maana Dai anaishi mtaa mmoja na Mimi
Ila hiyo nyumba sio yake kapanga
MakubwaaNdiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
Haha..nilicheka sanaSasa shoga yenu Zari kumuandikia mwenzie ujumbe wa vile ndo nini eti "Happy bday baba wa Vikima""
Mjini hapa mama.Makubwaa
Acha tu ila si hajasema kama kainunuaMjini hapa mama.
Watu wanasema kainunua. Kuna group file limekuja Kama loteee. Anae landlordAcha tu ila si hajasema kama kainunua
Zari alijishitukia tu! Kama utakumbuka, Diamond alisema "...siwezi kuacha kuchezeana na wanawake wakati hii ndo kazi yangu!" Akaendelea ndipo akamalizia "...halafu anatokea kima mmoja...!" Akimaanisha anatokea kima mmoja anataka kumpangia!
Sasa ni miezi mingapi ilipita tangu Zari aachane na Diamond na siku Diamond alipoongea ile kauli?
Ukweli ni kwamba kuna makima kibao wanaotaka kumpangia Diamond atembee na nani, amshike na asimshike nani, n.k! Hawa makima ndio aliwalenga lakini Zari akajishitukia kutokana na maneno ya Instagram!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanasema kainunua. Kuna group file limekuja Kama loteee. Anae landlord
Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue