Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 86
- 103
Ni true story ama kusadikikaNakumbuka nilianza kuisoma mwishoni mwa mwaka 2023 mpaka naimaliza mwaka jana. Lakini mwaka huu mwezi wa kwanza nikairudia tena na nikamaliza mwezi wa tatu.
Sasa leo nimeamua kuanzia kesho muda wangu huru nitautumia kuirudia kwa mara nyinine tena. Karibuni tukairudie wote NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA kutoka kwa mwamba haswa SINGANOJR. Simulizi bora kuliko zote nilizozisoma ikifuatiwa na IDAIWE MAITI YANGU kutoka kwa mkali FEBIAN BABUYA.
kipi kikusikitishacho mkuu?Inasikitisha sana
MAKUSHABU ndio kitu gani kiongozi?Badala ya kuvuta skanga mnabugia makushabu.
Usinambie! Kumbe LISU kaongezeka? Yupo upande upi wa ROMA ama ATHENA?Lisu ni mjinga japo shujaa
kusadikika lakini ina mengi ya kujifunzaNi true story ama kusadikika
🤣🤣Lisu ni mjinga japo shujaa