sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Habari zenu?
Natumaini mu wazima wa afya, napenda kuwajulisha wajasiriamali wote popote ulipo, kwa sasa tunaanza na wale waliopo jijini DSM, kuwa tumefungua ofisi zetu pale Mwenge,Tunatoa Huduma za ushauri wa kibiashara na tunawaunganisha wafanyabiashara wote na mashirika ya kifedha kwa huduma ya mikopo.
kuunganishwa na huduma ya kifedha ili upate huduma ya mikopo, inategemea na mzunguko wa biashara yako, dhamana uliyo nayo, vingine vingi nk.
Ili kuondoa ukiritimba wowote katika upatikanaji wa huduma za kifedha tunawakaribisha wafanya biashara wote ofisini kwetu Pale Mwenye Nyuma ya calabash Pub, kuna jengo la ghorofa tatu, sisi Tupo ofisi namba (2) mbili. au Kwa Mawasiliano zaid piga namba ifuatayo- +255744204368.
Naomba kama ni Mjasiriamali au unahitaji kuwa mjasiliamali tuwasiliane kwa namba hapo hapo juu au fika Ofisini kwetu.
Ahsante na sana natanguliza shukurani!!