Aisee...!Hivi kuwa na bar ni ujasiriamali ama ni biashara ya kawaida tu...
Basi pale kwa Godi ni pa kupaogopa sana. Maana unaweza ukawa unaongea na mhudumu halafu Godi akaelewa sivyo then ukala knife la shingo, na ukawa buriani. Huyu ambaye yupo hai hadi sasa ni kama zali tu.Nasikia alijisalimisha,ila anamhudumia jamaa mpaka apone,inasemekana wivu wa mapenzi,kuna mhudumu godi alikuwa anakula alafu jamaa akataka kumfaulisha,source ndugu yangu anakaa mbezi
Hivi kuwa na bar ni ujasiriamali ama ni biashara ya kawaida tu...
Basi pale kwa Godi ni pa kupaogopa sana. Maana unaweza ukawa unaongea na mhudumu halafu Godi akaelewa sivyo then ukala knife la shingo, na ukawa buriani. Huyu ambaye yupo hai hadi sasa ni kama zali tu.
Halafu wahudumu wake anachukuaga viwango, sijui anawatoa wapi.
Hivi kuwa na bar ni ujasiriamali ama ni biashara ya kawaida tu...
Hahah. Aisee pale kwa Godi sitii timu tena. Kama jamaa mwenyewe jambia njenje!alafu wewe kama nakukumbuka vile pale kwa godi, si tulikaa siku moja kule juu karibu na kaunta, ulikuwa unamwangalia sana yule mhudumu mweny 'bambataa' kubwa,yule mweupe. Nimependa jina lako la Mkeshaji
Mshahara wa dhambi ni mauti..............get well soon mlevi
Godii ni maarufu kutokana na bar yake ambayo inakesha na kuwepo na wadada wanaouza puchi zao. Hapohapo kuna guest house za 5000 hadi 10000. Ukipata chumba usiku ni bahati sana.