Mjapani aibiwa vifaa vya research, aomba msaada wako!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,048
23,495
12744586_1315702915123322_5196673257350603628_n.jpg

Kijana mmoja wa kijapan amejibandika matangazo kifuani na mgongoni. Nilimwuliza kulikokoni akanieleza kuwa aliibiwa juzi vitu vyake ndani ya basi la Kidia one akisafiri kati ya dar Arusha.

Kamera laptop na daftari 5 among other things. Vitu hivyo ni vina Research work aliyofanya miezi 6. Anaomba Msaada apate daftari zake. Na kama unavyoona yuko tayari kutoa 300,000/- Habari hii inatia uchungu sana.

Tafadhali saidia kusambaza kwa makundi mengine huenda akafanikiwa.
 
12744586_1315702915123322_5196673257350603628_n.jpg

kijana mmoja wa kijapan
amejibandika matangazo kifuani
na mgongoni. Nilimwuliza
kulikokoni akanieleza kuwa
aliibiwa juzi vitu vyake ndani ya
basi la Kidia one akisafiri kati ya
dar Arusha. Kamera laptop na
daftari 5 among other things. Vitu
hivyo ni vina Research work
aliyofanya miezi 6. Anaomba
Msaada apate daftari zake. Na
kama unavyoona yuko tayari kutoa
300,000/-
Habari hii inatia uchungu sana.
Tafadhali saidia kusambaza kwa
makundi mengine huenda
akafanikiwa.
du inasikitisha sana hilo jizi liloiba linauza kwa bei ya kijinga bila kujua thamani na hasara iliyoifanya....
 
Saana aisee mtu kahangaika miezi sita kufanya research leo anakuja kuibiwa wamuonee huruma jaman
 
12744586_1315702915123322_5196673257350603628_n.jpg

kijana mmoja wa kijapan
amejibandika matangazo kifuani
na mgongoni. Nilimwuliza
kulikokoni akanieleza kuwa
aliibiwa juzi vitu vyake ndani ya
basi la Kidia one akisafiri kati ya
dar Arusha. Kamera laptop na
daftari 5 among other things. Vitu
hivyo ni vina Research work
aliyofanya miezi 6. Anaomba
Msaada apate daftari zake. Na
kama unavyoona yuko tayari kutoa
300,000/-
Habari hii inatia uchungu sana.
Tafadhali saidia kusambaza kwa
makundi mengine huenda
akafanikiwa.
Ni ngumu kwa mtu kama huyu akimkamata mwizi kumuachia, haiya mambo ni magumu sana
 
Mwambie aongeze dau. Halafu ataje aspecify uwezo na kampuni zilizotengeneza hivyo vifaa!
Wezi wa siku hizi sio wa enzi zileee coz they got their own LORDS na wakishakatiwa mpunga, welevu ndo wanauza...
Naongea hivyo coz sister aliibiwa beg lake kwenye abood last year, kwa ubishi wangu nikajivisha u special agent!!
Hatmae begi na kila kilichokuwemo vyote nilivipata.
Vitu vingi vinavyochapwa kwenye buses kuna central unit where they acummulate na kupewa kitu kidogo. Baada ya hapo hutolewa na kupelekwa miji mhimu kwajili ya kuuzwa!
Sitaweza kutoa maelezo zaidi ya hapa ila wanufaika zaidi wa hivi vitu ni vijana wa IFM, UD, etc

Nina uhakika wa kuvipata hivyo vitu ila budget aliyoweka mjepu haikidhi nginjangija!
 
Kisima it's good sometimes to be human, money can't buy you everything. Just put yourself into his shoes and try to imagine loosing such 6 month hard work. The money he offered is just a token to a good samaritan as a courtesy for helping out. Please as you said you can get the lost property/documents/gadgets, kindly help him and accept the little token he has offered. Inshallah Almighty God will reward you
 
Fyoko Fyoko tu za kutaka kutubania MISAADA...
uskute hata hajaibiwa
 
Angekuwa Mchina angevitafuta kwa njia ya satellite na angevipata Ila kama ni Mjapani arudi tu kwao akatengeneze vyuma vya reli!!
 
All those months of hardwork na hajaweka back up online,alafu ni mtu toka nchi iliyoendelea kwa teknolojia....kuna somo la kujifunza hapa kuhusu utunzaji wa data zetu.
 
Kisima it's good sometimes to be human, money can't buy you everything. Just put yourself into his shoes and try to imagine loosing such 6 month hard work. The money he offered is just a token to a good samaritan as a courtesy for helping out. Please as you said you can get the lost property/documents/gadgets, kindly help him and accept the little token he has offered. Inshallah Almighty God will reward you
You are absolutely right. But i should follow all the required procedures before getting to the last person. Once i neglect any step definetely wont collect those kinda staffs!
The thing is i have to lay down money whenever i meet a connector, see how difficult the mission is??
 
Kwanza aliibiwa au aliporwa? kama aliibiwa powa tu ni bahati mbaya, kama aliporwa yeye ni zoba, ina maana waJep hawajui kucheza mabrusilii? ok , Sasa anaona vi risachi vya miezi sita dili, wenzake wamepoteza dege limejaa watu na mizigo mpaka leo hawajaliona lakini wapo powa tu.
 
Jana nikiwa Mombo nilimwona kijana mmoja wa kijapan amejibandika matangazo kifuani na mgongoni. Nilimwuliza kulikokoni akanieleza kuwa aliibiwa juzi vitu vyake ndani ya basi la Kidia one akisafiri kati ya dar Arusha. Kamera laptop na daftari 5 among other things. Vitu hivyo ni vina Research work aliyofanya miezi 6. Anaomba Msaada apate daftari zake. Na kama unavyoona yuko tayari kutoa 300,000/-
Habari hii inatia uchungu sana. Tafadhali saidia kusambaza kwa makundi mengine huenda akafanikiwa. Tumemshauri pia aende clauds fm na media house zingine.
ImageUploadedByJamiiForums1456149310.227893.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom