Mjane


Mtake radhi mama mjane!
 

We unalia tena unajiletea bwabwa lingine la kukuliza?...mbona unajinyanyasa? Grow up mama, unaonekana kama unajibembelezesha na kujiliza kwa hicho kiserengeti boy wakati chenyewe hakina mapenzi na wewe, tafuta mtu size yako aliye tayari kukupa furaha, huyo dogo atakutia umaskini, vilio, aibu na masimango, trust me, he is not going to change hata ukimwandika kwenye forums, kama vipimo mara nne havijamridhisha kama mko salama, na bado akiwa na nyege zake anataka kukulala kama kawaida then bado anasema we mgonjwa wewe hauoni kwamba huo mtu hana mpango na wewe anaridhisa tamaa za mwili tu!
 

Nafikiri haujausoma uzi wa mama hapo juu au na wewe una stress
 
Tuliza akili chukua muda mwingine kumtafuta mtu atakaye kuamini...Maana ni ngumu kumlazimisha mtu akuamini hata vipimo.
 

Hajaisusa ndoa bidada, kasema mumewe is no more, rejea viapo vya ndoa mpaka kifo kiwatenganishe.
 

Nendeni mkapime wote, kama hatakuwa tayari kukubaliana na ukweli bsi hakupendi ila anakutumia tuu, na hiyo story ya kuwa mumeo alikua muathirika ilitoka wapi?? it must have a source, jaribu kuongea naye ki upole tuu kama hataweza kuendelea na uhusiano mama wanaume wapo tuu, kaa utapata mwingine vizuri tuu.
 

Hujjamuelewa kwa kweli...
 

Tudai Haki;
Naomba unielewe vyema. Nimemwambia asijiite mjane kwa sababu sasa mumewe keshatangulia mbele ya haki. Sio kosa lake. Ila, sasa yupo huru kuolewa kihalali na mume mwingine wala sio kila mwanaume mwenye mgegedo. Upo hapo?
Amesema ati hataki kuolewa ila anataka kukaa kwenye hiyo nyumba ya marehemu, halafu aendelee kugawa penzi nje ya ukoo wa marehemu na haswa kijogoo kidogo sana ndicho amekizimia, halafu dogoo hakataki kum do kwa kuogopa asije kufa kabla ya wakati tena kwa kuuawa na "Used" iliyomuua mume.
Hiyo haki unayoidai hapo iko wapi? Ndo maana nimemwambia, asijiite mjane kwani hataweza kukaa hivyo. Lakini kama amejihakiki mara 4 ka alivyosema! na hii isijekuwa ni kwa siku moja vipimaji tofauti, basi akubali kuolewa na nimemwambia akitamani bado mali za marehemu, basi akubali kuridhiwa ka shamba la ukoo.
 
sasa alikutongoza wa nini kama alihis hivyo? au we ndo ulimtaka, mwache akuache bana
 
Bora yale mambo ya kurithishana ndugu mke yaendelee.Maana haitakubalika huyo kijana kuja kwa marehemu mume wako ni aibu
 

Miaka miwili tu, tayari umeshafanya "replacement"? Sitashangaa kama utasema kuwa "Dogo" alikuwepokuwepo enzi za uhai wa Marehemu!
 
Ndoa za kurithishana tuzipige vita kwa NGUVU zote mkuu.

Nyumba aliyojenga kaka yako akifa utakubali mume mwingine aje aishi na kuzaa kwenye nyumba ya ndugu yako?na shemeji yako akija kufariki yule mume arithi?
 
Umeamka na hangover au?? Mwenzio kafiwa na mmewe we unamwambia anatoka nje ya ndoa! Unataka akamegane na mmewe kaburini?

....hahahahahhaaa! Haki ya mungu wewe mzee umedata!!!


#MosKwito !
 

Mwache akwende ,,,,,,,,,,,,
 

umetia kiroba au ni nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…