Mjamzito kulala na mtoto chini ya mwaka mmoja ni tatizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjamzito kulala na mtoto chini ya mwaka mmoja ni tatizo?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kiruke cha Ibwe, Sep 14, 2009.

 1. Kiruke cha Ibwe

  Kiruke cha Ibwe Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Jamani wanajf wenzangu naomba mnisaidie kuhusu hili swala ambalo binafsi linantatiza sana. Huku kwetu imeenea na inaaminika kua mama mjamzito akimnyonyesha na hata kulala na mtoto wake mdogo basi atamsabibishia afya mbovu na hata kutokukua, je kuna ukweli kwenye hili?
   
  Last edited: Sep 14, 2009
Loading...