Vyote unavyosema ni vice versa is true...Hapo nahisi mkeo anaumri mkubwa wa kuzaa au mara ya mwisho alijifungua ni muda mrefu umepita. Au anakula sana vitu vya baridi huwa vinadababisha kutokupata uchungu kwa muda muafaka au hakuwa akifanya mazoezi haswa ya kutembea ili kuuandaa mwili kwa ajili ya kujifungua
Sawa nitawasikiliza...Mkuu nadhani ungewasikiliza wataalam hapo hospital wanakwambia nn,cos wao ndo wana mpima
Mtie moyo mama hujue anakuangalia wewe ukitetereka basi tena nae anateterekaSo what to do next..nataka nichukue hatua kama mwanaume...ukikaa tu usubiri...je inasaidia nini
Pole sana mkuu wangu mpnz..! Jikaze kaka, being a father is a wonderful experience!
Kwakuwa yupo hospital wala usipate shida yupo salama.
Kuhusu gharama za chakula malazi nk. Ndio wajibu huo.. Km unazo tumia kwa mkeo wakati huu akikuletea mtoto duniani.
Pole na misukosuko na hongera, utaitwa baba!
( baby girl na atafanana na mamake)
Pole.... Nshaanza kuogopa na mm
Hiyo ni nyongeza tu...ili tuone ni jinsi mtu anapotumia matatizo ya mtu kama fursa ya kujizidishia kibiashara...chai ya rangi haina kiwango cha kuuzwa 500 kikombe...Shilingi 500 ya chai ya rangi ndio hofu yako Wala sio usalama wa mkeo.
Napita tu kujifunza.
Yaani kupitiliza Jana tu Leo waona Kama ni muda mrefu sana....madaktari wanasema huwa Kuna kuchelewa wiki 2 baada ya EDD.
NI WAJIBU WANGU KUSIMAMA NA MKE WANGU KATIKA HALI YOYOTE...Shilingi 500 ya chai ya rangi ndio hofu yako Wala sio usalama wa mkeo.
Napita tu kujifunza.
Yaani kupitiliza Jana tu Leo waona Kama ni muda mrefu sana....madaktari wanasema huwa Kuna kuchelewa wiki 2 baada ya EDD.
Kuna uzembe mwingi sana unafanyika izi nchi zetu kwa kina mama wanapofikia mwisho karibu na kujifungua maji ndo uhai wa mtoto awapo tumboni mm huwa naona bora operation nikauguze lkn ni uwakika asilimia kubwa kuna muda maji yakiisha na dokta hayupo zamu ndo kupoteza kiumbe wakati mlienda hospital anacheza tunabaki na ule usemi wetu wa alikuwa siyo risiki