Mbona anaongea kama mtetezi wa serikali?....mara anafagilia bajaji za wajawazito, mara kilimo kwanza, mara uongozi hata haeleweki huyuHuyu jamaa haeleweki....ameanza na kuifafanua vision 2025, sasa hachambui vision wala bajeti. Anaongea kama kada mzoefu wa chama tawala...au ndo aliyeandaa hii bajeti??? maanaake utetezi wake ni zaidi ya ule anaoweza kuutoa Mkulo
Mchangiaji wa kwanza naona kamponda dr kiaina kuwa hiyo sio bajeti bali ni political document