Mjadala wa ukosefu wa ajira {our strength)

Mjadala wa ukosefu wa ajira {our strength)

Wazo linaonekana kuwa zuri sana. Unaweza ukaniambia in first place uliwaza mradi gani, Sababu kila nikifika hapo picha inapotea
Baada ya kuanzisha umoja huo wa wanachama mradi wowote utakaokubalika na wanachama wengi ungepitishwa.
 
jumla ya hela itakayochangwa inaonekana kubwa ila ikumbukwe wachangiaji nao watakuwa wengi je watanufaikaje na icho kitachoanzishwa?
 
jumla ya hela itakayochangwa inaonekana kubwa ila ikumbukwe wachangiaji nao watakuwa wengi je watanufaikaje na icho kitachoanzishwa?
Fedha itawekezwa katika mradi mkubwa na baada ya kuanzisha biashara litakuwepo gawio kwa wanachama
 
Kumbe huu ukosefu wa ajira ukiendelea kinaweza kikafanyika kitu kikubwa kitakacho shangaza wengi
Mawazo mazuri kabisa tatizo lipo kwenye utekelezaji
 
Kuna haja vijana kuwa na Mipango ya Namna hii . Maana tumeamini Ideas za Nje na Kampuni zao lakini tumelizwa sana . Kuna Kampuni inaitwa NOVATECH acha tu
 
Back
Top Bottom