MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Yaani jamaa anajikanyaga mwenyewe kwenye maelezo yake na kweli Chadema wana sababu ya kukataa....
Jamaa wa Kenya katoa ushauri mkubwa sana na serikali ishuke chini ikubali huu mchakato ni lazima uanze kwa maelewano makubwa pande zote..
Nilikuwa nitoke Chadema lakini sitokiiiii hata kwa kubanduliwa kama Gamba..
Peoplesssss Powerrrr
Stella Nyanya anaweza kutaka BBC nao wazuiliwe kutangaza mjadala wa katiba mpya.Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..
ok asante kwa taarifa, nitasikiliza kwa makini sn na nitapost kile kitakachoongelewa
Tunashukuru kwa taaarifa, but mda kamili utakuwa ni saa ngapi???? Tuombe mungu wasije wakaTUNGELEJA!!!!
bbc kiswahili ipo saa 12.30 jioni pambafu maswali gani haya
idhaa ya kiswahili, ya kiingereza au kwenye mitandao?
idhaa ya kiswahili, ya kiingereza au kwenye mitandao?
microfon chek, chek. safi. ziko poa. chaji nayo iko juu. ahsante mkuu.Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..

Stella Nyanya anaweza kutaka BBC nao wazuiliwe kutangaza mjadala wa katiba mpya.