Mjadala ulishafungwa

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
498
250
Slaa alishasema mjadala umefungwa mpaka maamuzi ya cc

Vitu vya kujiulizi

1:mbona huko alikokuwa ziarani,habari nzima ilikuwa juu ya uamuzi wa kamati kuu juu ya kuwavua akina ZZK
2:huyu Heche nae anazunguka zunguka na kuruka ruka mikoani kuhusu hili hili swala
3:na kundi la mwisho ni hawa CYBER A-Sukhoi,najua mnawajua sana wakiongozwa na bauncer B.S,wamekuwa wakitundika nyuzi kila panapoitwa SOCIAL MEDIUM,hili nalo ni swala linalokiuka katika ya SACCOS!

jifunzeni kukaa kimya! Kama mnahisi hata kuwavua vyeo haitoshi,watoeni uanachama,kama mnahisi na hiyo haitatosha,wafanyieni kama mlichomfanyia Mkurya,kama mnahisi hiyo haitoshi,Ombeni Mungu tu,kwakuwa mmesema mmeanza na Mungu mtamaliza na Mungu,na huo uwe mwisho wenuuuuu! Huh
 

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
ntoa maada, wengi humu hawakufahamu ila mimi nakufahamu wewe ni nani? Wa kutulia wa kwanza ni wewe! I dont want to disclose your ID! Unakumbuka nilishaposti kitu kukuhusu tuka Argue kidogo humu? Just be wise and time will tel!
 

Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,726
1,500
ntoa maada, wengi humu hawakufahamu ila mimi nakufahamu wewe ni nani? Wa kutulia wa kwanza ni wewe! I dont want to disclose your ID! Unakumbuka nilishaposti kitu kukuhusu tuka Argue kidogo humu? Just be wise and time will tel!
JF where we dare to talk openly. Naona huelewi maana ya hii sentesi kabisa. kama vipi mpige tofali tu kieleweke. Tumechoka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom