Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Mbona matusi kila siku humu JF kwa Serikali? Sisi vijana nani ameturoga?Mbona wanaipenda tuuu! Hujawaona vijana kama akina pole pole, mmm, akina sisi, akina Mwalla, au vijana gan unawazungumzia?
Sio kila MTU anapokutukana anakuchukia, mwingine anaonesha anavyokukubali, mwingine raghaaaaa utamuuuuuMbona matusi kila siku humu JF kwa Serikali? Sisi vijana nani ameturoga?
Picha hapo chini zinaonesha jitihada za serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kusaidia wahanga wa ajali ya bus la wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent iliyotokea wilayani Karatu katika mkoa wa Arusha.
View attachment 527790
View attachment 527792
Licha ya juhudi zote hizi bado vijana wanatukana sana serikali yao? Tatizo ni nini hasa?
Ina maana hakuna jema serikali inalofanya hata kustahili sifa?
Najua nitatukanwa, kukejeliwa na kuitwa najipendekeza na kila aina ya jina, lakini tatizo la msingi ni lipi kati ya vijana na serikali yetu ya Tanzania?
Nawasilisha.

Nasikia mazungumzo yao kwenye daladala, madereva bodaboda, vijiweni yani ni kejeli na chuki tu dhidi ya nchi yao wenyeweHaya ni mawazo ya ajabu sana! Ni sababu zipi zinazokufanya useme vijana wanaichukia serikali?
Soma threads na comments nyingi za watu hata hapa kwenye jukwaa la siasa. Ni maneno machafu tu.Umewahesabu hao vijana? Idadi yao ikoje? au unachukulia hizi kelele za wagonga keyboard?
mmmmhhhh hii mpya sasaSio kila MTU anapokutukana anakuchukia, mwingine anaonesha anavyokukubali, mwingine raghaaaaa utamuuuuu
Tatizo la ajira ni changamoto ya dunia nzima sio Tanzania tu.Vijana wengi wanaomaliza masomo na kukosa ajira ni bomu ambalo serikali inaliandaa bila kujijua...
Mbona matusi kila siku humu JF kwa Serikali? Sisi vijana nani ameturoga?
Vijana wa ufipa kwa nini mnapenda kujumuisha vijana wote ktk hako kasakosi kenu??Picha hapo chini zinaonesha jitihada za serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kusaidia wahanga wa ajali ya bus la wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent iliyotokea wilayani Karatu katika mkoa wa Arusha.