Sipo upande wowote maana vyote nidhania tuu.Ww mkuu km ww upo upande gan mpk ss kati ya mwanadamu kumuumba MUNGU na MUNGU kumuumba mwanadamu????
Hapo sawa ila bado kuna ukakasi kwamba hii dunia imeumbwa kwa material sasa haya Material yametoka wapi na nani aliamua ki2 kitokeeNguvu ya uumbaji ipo hapa hapa ulimwenguni na haipo katika mfumo wa kiumbe hai, haina ufahamu wala mpango wowote ila hawa mababu wawili wasioonekana tunaosimuliwa kwenye vile vitabu viwili maarufu kwamba wapo uko mawinguni hapa wazungu na waarabu walitupiga na kitu kizito
Sayansi imeelezea jinsi dunia ilivyotokea jaribu kutafuta maarifa hata hivyo kuna tofauti ya miaka mingi sana kati ya ulimwengu na modern humanbeing. Inakadiliwa ulimwengu ulitokea miaka bilion 13 iliyopita wakati binadamu wa sasa hajafikisha hata miaka milioni 10 tu, lazima tukubali kwamba hatuwezi kuwa na jibu la kila kitu tukisema tutafute origin ya kila kitu kwenye kila backward point tutakayofika litaibuka swali jipya je chanzo cha hii point ni nini? ni vyema tukabaki na swali ambalo kwa sasa hatuna jibu kwa lengo la kuendelea kufanya udadisi kuliko kubeba jibu lolote hata kama halina mtililiko wa kimantiki ilimradi tu swali husika lisikose jibu.. kwaiyo pale ambapo maarifa yetu yameishia tukubali hapa hatujui hii italeta chachu ya watu kudadisi zaidi na kuja na jibu ila sio kudumaza akili kwa kupachika hekaya za uyo invisible old man aliejificha uko mawinguni.Hapo sawa ila bado kuna ukakasi kwamba hii dunia imeumbwa kwa material sasa haya Material yametoka wapi na nani aliamua ki2 kitokee
Nakubaliana na wewe kwamba kwa sasa baadhi ya mambo hatuna majibu tueendelee na udadisi.Sayansi imeelezea jinsi dunia ilivyotokea jaribu kutafuta maarifa hata hivyo kuna tofauti ya miaka mingi sana kati ya ulimwengu na modern humanbeing. Inakadiliwa ulimwengu ulitokea miaka bilion 13 iliyopita wakati binadamu wa sasa hajafikisha hata miaka milioni 10 tu, lazima tukubali kwamba hatuwezi kuwa na jibu la kila kitu tukisema tutafute origin ya kila kitu kwenye kila backward point tutakayofika litaibuka swali jipya je chanzo cha hii point ni nini? ni vyema tukabaki na swali ambalo kwa sasa hatuna jibu kwa lengo la kuendelea kufanya udadisi kuliko kubeba jibu lolote hata kama halina mtililiko wa kimantiki ilimradi tu swali husika lisikose jibu.. kwaiyo pale ambapo maarifa yetu yameishia tukubali hapa hatujui hii italeta chachu ya watu kudadisi zaidi na kuja na jibu ila sio kudumaza akili kwa kupachika hekaya za uyo invisible old man aliejificha uko mawinguni.
Habari wanajamvi?natumai wote niwazima.
kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini.
pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba binadamu wamemuumba MUNGU,hii inatokana binadamu kushindwa kujua mwanzo wake nawaka amua kusema yupo mwenye nguvu aliye tuumba.
pia wapo wanao amini kwamba aliye tuumba yupo ila sio huyu anaye tajwa kwenye vitabu wala simulizi zakale,yeye mwenye nguvu muumbaji yupo baada ya kuumba ulimwengu na sheria zake(kanuni) na viumbe hana mpango navyo kwa maana ulimwengu unajiendesha wenye automatic.
Binadamu wapo na wanathibitishika wapo.Swali,je Mungu amemuumba mwana damu au mwanadamu amemuumba Mungu baada ya kushindwa kujua mwanzo na hatima yake baada ya kufa? Naomba kuwasilisha.