Mizizi ndio humaliza mti

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,762
Reaction score
37,393
Ni kujitafakari wala sio kujipendekeza.

Vita vilianza 20’s siasa,uchumi,teknolojia
Siasa Nchi ambazo zimepitia mpaka sasa athari zake ndio zimesababishwa na siasa zipo nyingi.

Uchumi
Vita vya uchumi hata kushiriki sasa kuchangia teknolojia yaweza kuwa vikwazo sasa na sehemu ya kuwa shirika wa kuwezesha mapato.

Teknolojia
Uvumbuzi na mbinu au kishindwa kukabiliana na hilo kwenye maswala ya haya

Kwa nini UAE wa tumie kama nchi hizi kuogopa wakati ndio waislamu wengi wapo hapo.

Mawazo yangu
Shutuma nyingi zinaweza kuwa UAE ni sehemu iliyopewa baraka na mataifa makubwa na kitovu kikubwa cha biashara.kulingana kuwa sehemu iliyosalama isije kugeuzwa kama maeneo katika nchi hizi 13 kwa yaliyo tokea. Tokea 20’s

Ni mawazo mnaweza kuweka link kwa nini
 
vita ya kibiashara Tanzania mbona haipo kwenye ito list ??
 
Kwa uandishi huu, sishangai jina unalotumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…