Mizinga kwa gia za urafiki

Aise kumbe!nitaitumia iyo method yako!
 
Mchepuka upi tena unataka umpe simu used?
Mama nanii kuna mtu anasumbua eti imedondoka kwenye maji.

Sasa nimemwona mleta mada anatangazo kwenye ID yake.
 
Buda simu zipo hizo used?
Hilo neno "BUDA"umenikumbusha Nairobi nilivyokuwa shule..[emoji28] [emoji28] [emoji122] [emoji122] [emoji121] [emoji121]
 
Hizo ndiyo lugha zetu joh
 
Reactions: lup
Hizo ndiyo lugha zetu joh
Acha boss umenikunbusha pale DAGORATTE CONNER HIDDEN TALENTS... miaka kama saba iliyopita, Buds,job,karau,nimekatia dem,amenibaba,father,hao,....
 
Washenzii kweli. Hiyo ndo dawa yao. Harafu unamtongoza unauchuna huulizii jibu wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…