and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,512
- 40,350
Hahahaha toa hela mkuu nasema wape hela narudia tena wape helaaaWadada Mjini mmezidi aisee. Mtu kakutongoza tu tayari unakuja na Invoice ya matatizo yako. Hata sisi tuna yetu jaman
basi umedate slay queen. wana njaa sanaWadada Mjini mmezidi aisee. Mtu kakutongoza tu tayari unakuja na Invoice ya matatizo yako. Hata sisi tuna yetu jaman
SureNi ujinga..yaani ukishamtongoza2 muda huo kashakugeuza Baba ake,Mara vocha,sijui Kodi dash!!Ndomaana hawaolewi
hahahaha, hatari sana, yaani ni mwendo wa nipe nikupe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yan badala ya demu kutoa proforma invoice na kusubiri Order itoke kazi ifanyike (kuliwa mzigo) ndo walete invoice tena ikiwa na Efd risit ndo walipwe wao wanarahisisha tuu moja kwa moja invoice dah kazi kweli kweli
Kutana na mtu wa PMU. π€£π€£π€£[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yan badala ya demu kutoa proforma invoice na kusubiri Order itoke kazi ifanyike (kuliwa mzigo) ndo walete invoice tena ikiwa na Efd risit ndo walipwe wao wanarahisisha tuu moja kwa moja invoice dah kazi kweli kweli
πππππ HatareeKuna mmoja juzi nilikutana nae nikamuomba namba akaniambia anauza namba kila moja sh 10,000. 10x10000=100,000 nikaona isiwe tabu nikampotezea akaanza kujiongelesha mwenyewe oh mara ntakupunguzia nikamwambia usijali unapoomba kuna kupewa au kunyimwa.