Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 636
- 540
Mzinga 1unazaliaha asali kiasi gani na kwa mda gani
1.2 M X 4Katika kila mzinga kuna fremu 10 na kila fremu inakupa kilo 1 ya asali hapa zinapimwaga kwa kilo hivyo kwa mzinga unaweza pata angalau kilo 100 na hii ni baada ya miezi 3. kila kilo huuzwa tsh 12000 hivyo mzinga unakupa kipato cha tsh 1,200,000 kwa kipindi hicho. Sasa hapo itategemea una mizinga mingapi ili upate zaidi
Kwa mwaka unavuna mara 4
1.2 M X 4
4,800,000 X 10
48,000,000!!
Hakuna masikini dumiani ni ujinga wetu!!!
Yaana Milioni 48 kwa mtaji wa laki 9 ndani ya mwaka mmoja?;??
1.2 M X 4
4,800,000 X 10
48,000,000!!
Hakuna masikini dumiani ni ujinga wetu!!!
Yaana Milioni 48 kwa mtaji wa laki 9 ndani ya mwaka mmoja?;??
4.8 per year.1.2 M X 4
4,800,000 X 10
48,000,000!!
Hakuna masikini dumiani ni ujinga wetu!!!
Yaana Milioni 48 kwa mtaji wa laki 9 ndani ya mwaka mmoja?;??
mkuu kama ni simpo kama hivo nenda kafuge wewe upate hizo njuruuu mkuuKatika kila mzinga kuna fremu 10 na kila fremu inakupa kilo 1 ya asali hapa zinapimwaga kwa kilo hivyo kwa mzinga unaweza pata angalau kilo 10 na hii ni baada ya miezi 3. kila kilo huuzwa tsh 12000 hivyo mzinga unakupa kipato cha tsh 120,000 kwa kipindi hicho. Sasa hapo itategemea una mizinga mingapi ili upate zaidi
Kwa mwaka unavuna mara 4
Hivyo kwa mzinga kwa mwaka angalau una tsh 4,800,000
Namaingo,DECI,mkojo wa simbilisi,Mayai ya kware,matikitiki maji yanalipa.,.............!1.2 M X 4
4,800,000 X 10
48,000,000!!
Hakuna masikini dumiani ni ujinga wetu!!!
Yaana Milioni 48 kwa mtaji wa laki 9 ndani ya mwaka mmoja?;??
Namaingo,DECI,mkojo wa simbilisi,Mayai ya kware,matikitiki maji yanalipa.,.............!
makolo....πππ
mkuu kama ni simpo kama hivo nenda kafuge wewe upate hizo njuruuu mkuu
cc mng'ato
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kila mzinga kuna fremu 10 na kila fremu inakupa kilo 1 ya asali hapa zinapimwaga kwa kilo hivyo kwa mzinga unaweza pata angalau kilo 10 na hii ni baada ya miezi 3. kila kilo huuzwa tsh 12000 hivyo mzinga unakupa kipato cha tsh 120,000 kwa kipindi hicho. Sasa hapo itategemea una mizinga mingapi ili upate zaidi
Kwa mwaka unavuna mara 4
Hivyo kwa mzinga kwa mwaka angalau una tsh 4,800,000
Ha haaaNamaingo,DECI,mkojo wa simbilisi,Mayai ya kware,matikitiki maji yanalipa.,.............!
mkuu wewe kama fundi kwanini unaanza kutoa hesabu za fedha kama mtaalamu wa ufugaji?Na hili ndilo tarizo letu watz ndio maana hatuendelei. Sasa sijui ni education system yetu au ni malezi, sielewi. Mindset hii ndio inarudisha nyuma sisi watz.
Mtu anadhani kila mtu anaweza fanya kila kitu ndo mindset hii inaleta watu wanaodhani wanajua kila kitu. Ukisema unaumwa kichwa utasikia hiyo maleria, mwingine aah hiyo typhoid yaani hakuna mtu aseme unajua hatujui labda uende hospitali upime uambiwe ni nini. Kuumwa kichwa ni dalili ya magonjwa tofauti tofauti.
Nimeeleza huo mfano wa ugonjwa kuelezea km mfano ktk comment yako. Mi ni fundi naunda mizinga, ndio kazi yangu, wengine watafuga, wengine watakuwa kazi y ni kuuza asali, wengone watakuwa kutumia. Hatuwezi wote fanya kila kitu
Nadhani utakuwa umepata chochote.
Stick with what you know
Ni kweli kabisa ulichosema.Mtu akikupa huu mchanganuo, unatamani mara moja kufanya hiyo shughuli. Lakini hali ahlisi sivyo, muhuzaji akisha kupa mzigo, basi yeye anaweka chake mfukoni, sasa kazi inakuja kwako kuwaka hiyo mizinga. Probabilities ni ndogo sana kupata alicho kuambia, kwani yawezekana:
1: Nyuki wasiingie kwenye hiyo mizinga kwa kwakati
2: Kiwango cha asali utakayo pata kwenye huo mzinga kikawa chini ya alichokisema
3: Usivune hiyo asali mara 4 kwa mwaka kama alivyosema
4: Soko la asali lisiwe rafiki kama alivyo sema.
NB:
Ni wazo zuri kuwa mradi wa kuvuga nyuki, lakini mtu hasifanye kwa mihemuko ya kupata pesa baada kushawishiwa na wafanya biashara.
Unajua mtu ukieleza hizi takwimu kuna watu wanadhani ni story au nn. Kila mtu afanye reseach yake mwenyewe kwa wafugaji nk, Tembeleeni wafugaji wa kisasa mjionee wenyewe. Sie wengine watengeneza mizinga lkn pitieni wakulima mjionee watu wanavyotajirika msidhani hizi figures za kupika