Mizengo Peter Pinda (Waziri Mkuu)

Mizengo Peter Pinda (Waziri Mkuu)

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
935
Hivi muheshimiwa Waziri mkuu yupo likizo ama vipi? Haonekani hasikiki hata kwenye majanga Haya ya mafuriko ambayo yapo chini yake. Mwenye taarifa tafadhali.
 
Yuko bize anarina asali..
Kuhusu Mafuriko amemtuma Mzee wa Mikasi asimamie shoo...
 
Yuko kwa rezima Rukwa mzee hataki kuaribu mfungo mzee wa watu
 
Hivi muheshimiwa Waziri mkuu yupo likizo ama vipi? Haonekani hasikiki hata kwenye majanga Haya ya mafuriko ambayo yapo chini yake. Mwenye taarifa tafadhali.
Huyu PM ni bonge la Non-Performer !!! Sielewi kwanini JK hajampiga chini mpaka leo hii ...
 
Huyu PM ni bonge la Non-Performer !!! Sielewi kwanini JK hajampiga chini mpaka leo hii ...

We kilaza kweli hvi unaweza kujifananisha na PM lakini sio kosa lako akili zako zimeharibiwa na gongo za UKAWA
 
Yuko bungeni kwenye party caucus ya kila jioni kujianda kwa ghani za asubuhi. Wale jamaa wanafanya rehearsal ya namna ya kutoa mipasho kwenye bunge la katiba. Pinda ndo mwenyekiti wao na kocha mkuu.
 
Mbona yupo bungeni au mnataka aje majumbani kwenu ndio mtajua yupo?
 
huyo ni bora asisikike kabisa achelewi kuropoka 'znz si nchi'' wapigwe tu' hao wamafuriko atasema na wafe tu mana tulishawaambia bosi kasema wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao
 
Anaogopa kuropoka Zanzibar sio NCHI mbele ya akina Jussa na Juma Duni! Maana atapigwa tu, Wazanzibari wamechoka na muungano, watampiga tu!
 
Ni muumini wa serikali tatu na hata maoni ya baraza la wizara yake aliyakubali. Kazibwa mdomo na chama
 
Yupo bizz anapita makanisani na Lukuvi wakisema nchi itachukuliwa na jeshi zikiundwa serikali3
 
Back
Top Bottom