Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 961
- 1,333
Hospitali kubwa tu.ulikwenda hospital kubwa au ni hizo za vichochoroni
uko mkoa wenye vipindi vikubwa vya jua ama vipi kama vipi badiri mazingira uende sehemu zenye baridi baada ya muda hata hiyo miwani hutaihitaji tenaHospitali kubwa tu.
Duh. Kwahiyo baridi ndio inatibu RETINA ya jicho?uko mkoa wenye vipindi vikubwa vya jua ama vipi kama vipi badiri mazingira uende sehemu zenye baridi baada ya muda hata hiyo miwani hutaihitaji tena
baridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shidaDuh. Kwahiyo baridi ndio inatibu RETINA ya jicho?
wacha kumtisha mwenziobaridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shida
Ok.Yaani umeandika unadhani ni sifa na ufahari sana kuvaa muwani eehhhh....[emoji45] [emoji45]
Anyway, Mungu akusaidie sana hakika maana ungejua wengine sie tunavyo pata shida kwa hili janga....[emoji25] [emoji29]
Yaani umeandika unadhani ni sifa na ufahari sana kuvaa muwani eehhhh....[emoji45] [emoji45]
Anyway, Mungu akusaidie sana hakika maana ungejua wengine sie tunavyo pata shida kwa hili janga....[emoji25] [emoji29]
Kipenzi.....Jamani umemuonea bwana ye mwenyewe anaonekana hapendezwi ndio maana ameuliza kama ndo keshakuwa mlemavu na hataweza kuiacha? Hem soma tena babe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani anapata shida sema atakuwa anatokea kulle mpakani, msamehe babe.Kipenzi.....
It is impossible kwa sisi wazee kumuelewa mtu mwenye anasifia ulemavu like "hii muwani ya 2.5 ikua nzuri na yenye kuvutia".
Kisha anaomba ushauri kama ndio anaendelea kutumia for the rest of his life...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Noooopppp babe, this is absolutely ridiculous
Mnh!hili chaka lenye miba bamba!baridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shida
Ohhhppppssss....[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani anapata shida sema atakuwa anatokea kulle mpakani, msamehe babe.
Nimesema lenzi ya 2.5 inanipa UONO mzuri!!! Bwana mdogo Kiswahili kwako ni tabu sana? au umeamua kuwa mpumbavu wa makusudi?Kipenzi.....
It is impossible kwa sisi wazee kumuelewa mtu mwenye anasifia ulemavu like "hii muwani ya 2.5 ikua nzuri na yenye kuvutia".
Kisha anaomba ushauri kama ndio anaendelea kutumia for the rest of his life...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Noooopppp babe, this is absolutely ridiculous
Lenzi hii ya 2.5 ni nzuri sana kiasi kwamba NAONA vitu vyote kwa usahihi mpaka najisikia raha natamani niwe natizama tu. MAANA NAHISI macho yameponywa.Nimesema lenzi ya 2.5 inanipa UONO mzuri!!! Bwana mdogo Kiswahili kwako ni tabu sana? au umeamua kuwa mpumbavu wa makusudi?
Huwa wanasema inawezekana macho yakaanza kujirudi kwenye ubora wake baada ya muda. Lakini kwangu naona hali tofauti.Walikwambia ukianza kuvaa miwani utapona? Nijuavyo ukianza kuvaa miwani ndio basi tena
Naomba nikupuuze tafadhali, maana kuchamba kwingi nisije jikuta nashika kimbaNi kipi cha ajabu hapo!!? Kwamba mimi kufurahia kuona vizuri ndio kumekukera sana? Acha utoto we mzee!