Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,023
Anatumia desktop hawezi kupiga picha.Picha tafadhali.
Taarifa hii, bila picha ni sawa na Bombadier bila mafuta!! 😀
Anatumia desktop hawezi kupiga picha.
Aiseeeh
Haaa haaa Haaa haaa Haaa haaa Haaa teeeh Haaa teeeh Haaa.
Ndiyo basi tena .
Sasa unataka avae ya miguu au ?Naomba kujulishwa miwani anayovaa Rc wa Mbeya ndugu Amos Makalla ni ya nini? Maana imekaa kimauzo na yeye anapendelea kuvaa muda wote, wataalam wa miwani karibuni.
Angalizo:
Kama huna cha kuchangia pita kimya.
Umesema anavaa muda wote?Naomba kujulishwa miwani anayovaa Rc wa Mbeya ndugu Amos Makalla ni ya nini? Maana imekaa kimauzo na yeye anapendelea kuvaa muda wote, wataalam wa miwani karibuni.
Angalizo:
Kama huna cha kuchangia pita kimya.