Mh mh mh......koh koh koh....aaaah, mashaaalah mwasema kwe ninyi?
Panapo majaaliwa inshaalah Itabidi nitafute muda muafaka nijionee mwenyewe, nimefurahishwa na ya kuchezesha t.ako moja ilhali moja limeganda, sijaiona muda mrefu hii tangu nilipomuona khanithi mmoja hivi pale Lamu wakati narejea zangu toka Maskati.
Vipi huwa anakubali tenda na mialiko ya kuja kunengulia majumbani, kuhusu malipoo mantashaka.
BAGAH, Huyo mjamaa ni noumer! Hivi unajua sometyms anao uwezo wa ku'vibrate saburi moja tu ! While saburi mwenza kaligandisha ! Then akitaka tena anaya'vibretisha yote mawili .
Hatariii .
Mh mh mh......koh koh koh....aaaah, mashaaalah mwasema kwe ninyi?
Panapo majaaliwa inshaalah Itabidi nitafute muda muafaka nijionee mwenyewe, nimefurahishwa na ya kuchezesha t.ako moja ilhali moja limeganda, sijaiona muda mrefu hii tangu nilipomuona khanithi mmoja hivi pale Lamu wakati narejea zangu toka Maskati.
Vipi huwa anakubali tenda na mialiko ya kuja kunengulia majumbani, kuhusu malipoo mantashaka.
Hahahahahaaaa! LawYER hapa umeua, daaah! Mapunga!...lolKuna na yule mzembe mwengine wanamwita bob junior sjui nani, yaani mtoto wa kiume anakatika halaf kalegeza mpaka mabega na kidole kiko hewani. Suluhisho hapa ni kuongeza nyumba ndogo tu manake wanaume tupo kidogo na hao kidogo wenyewe wengine mapunga na kinadada wanahitaji huduma za kimaumbile.
Yaani Sipendi kabisa mambo ya nyumba ndogo lakini itabidi nijilazimishe tu ili kuiokoa jamii.
itabidi nivizie kwenye TV nimwone. Wanamuoneshaga channel na kipindi gani?
Kuna na yule mzembe mwengine wanamwita bob junior sjui nani, yaani mtoto wa kiume anakatika halaf kalegeza mpaka mabega na kidole kiko hewani. Suluhisho hapa ni kuongeza nyumba ndogo tu manake wanaume tupo kidogo na hao kidogo wenyewe wengine mapunga na kinadada wanahitaji huduma za kimaumbile.
Yaani Sipendi kabisa mambo ya nyumba ndogo lakini itabidi nijilazimishe tu ili kuiokoa jamii.
Kuna H Baba na Bob Juniour loh vijana mmh ..labda wanatokea Congo
miss you swiry.
I too girl ..nakosa neno zaidi uko powah lakini..?
niko pouwah sana,just enjoying the weekend.
will sms ...take care
haya mamie,hakuna mauno huko ulipo?
hahahaha hapa ni 20pa..
Wanayo hiyo laki?hehehe mimi huku ni kanga moko ndembendebe,laki si pesa!