Ukiona kiuno kinazungushika basi ujue makalio na hips zimetanuka
zimetanuliwa na nini???
...umenikumbusha leo nimeona mkaka anakatika kwenye tv...af akageuka kalio,akakatika zaidi...wakazoom ****...then likagandishwa...bo!...sasa najiuliza iyo inamana gani akati yule mtoto wa kiume??
H baba kwa masikio yangu nililmsikia ktk interview moja akisema yeye ni bingwa wa kukata mauno tanzania nzima...sasa unafikiri kuna masihara hapo!
BAGAH, Huyo mjamaa ni noumer! Hivi unajua sometyms anao uwezo wa ku'vibrate saburi moja tu ! While saburi mwenza kaligandisha ! Then akitaka tena anaya'vibretisha yote mawili .
Hatariii .
mazoezi yakunengua...
itabidi nivizie kwenye TV nimwone. Wanamuoneshaga channel na kipindi gani?
Mme mi hapa napita tu.
Kuna uwezekano anatumia mchina au vitamini vimezidiBAGAH, Huyo mjamaa ni noumer! Hivi unajua sometyms anao uwezo wa ku'vibrate saburi moja tu ! While saburi mwenza kaligandisha ! Then akitaka tena anaya'vibretisha yote mawili .
Hatariii .