Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,903
- 945
MIUNDOMBINU BORA YA ELIMU, SHULE YA SEKONDARI MWAKATA-KAHAMA
Matukio kwenye picha Ziara ya Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ambapo ametembelea na kukagua Mradi wa ujenzi wa Maabara ya masomo ya Sayansi katika shule ya Sekondari Mwakata iliyopo Kata ya Mwakata halmashauri ya wilaya ya Msalala.
Ujenzi huo umegharimu jumla ya shilingi milioni 70,299,000 ambapo uwepo wa maabara shuleni hapo umetajwa kuamsha hari na morari kwa wanafunzi kupenda masomo ya Sayansi,kuongeza ufaulu na umewawezesha walimu shuleni hapo kutotumia nguvu kubwa katika ufundishaji kwa vitendo.
🗓28/8/2023 📍Kahama
UWT IMARA. JESHI LA MAMA. KAZI IENDELEE