Ukilala kwenye hizi Hotel mfululizo kwa mwaka mzima wa siku 360 yani unalala kwa mtiririko wa
1 month = hotel ya 1
2 month = hotel ya 2
unaenda kwa mtiririko huo mpk december unakua umelala hotel 12 tofauti,kusema ukweli ukisikia mtu
kasema amekula miguu ya kuku na vichwa unaweza ukamshangaa,mtu akwambie asee huku kuna joto kali
sidhani kama utamuelewa maana mmh,kwa kweli duniani kuna watu wanaishi yani ukiangalia mijumba kama hii
unajiona kumbe mi bado sana yani taka taka sipaswi hata kufungua bakuli langu mbele ya watu.