kwa anayefahamu kuhusu taarifa/habari za kutokewa na Bikira Maria kwa mtoto mmoja huko Kibosho mkoani Kilimanjaro - Tanzania miaka zaidi ya kumi iliyopita, napenda kufahamu alipo kwa sasa na anafanya nini.
Nakumbuka watu walikuwa wanaenda kwa wingi kwake kuponywa.
Nakumbuka watu walikuwa wanaenda kwa wingi kwake kuponywa.