Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,312
Reaction score
103,534
Mbona fimbo zote zafanana?

Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?

Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?

Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?

Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?

Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?

Je, serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
 
Mtaji wa Manabii feki/Matajiri uchwara ni Wajinga

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…