Mitungi...

yaan hakuna mitungi siku hizi kabisa, hizo ni sample tu, mtungi mtoto abebe kichwani? tungi lilifinyangwa kwa udongo nakumbia hata ukijitwika uzito wa maji na tungi shughuli ipo...
 
mtungi unapoza maji kati kwa kati sio joto sana sio baridi sana aaah mmmtungiiiiii sio gongo lakini ni mtungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…