Unajua ukiumwa na Nyoka hata jani likikugusa unashtuka. Kampuni ya Mitsubishi imekuwa na skenda kubwa mbili ambazo zilisababisha wateja wengi kukimbia na kusababisha kushuka kwa mauzo mpaka kufikia hatua ya kufunga baadhi ya Production plants zake za Marekani na Asia.Gari nzuri sana japo haizungumziwi kivile
Mmh! Nissan Xtrail inachemsha balaaa sasa kama jmmaa Wamejoin wakatuletea Mitsubishi outlander 2022 je watakuwa wamesolve ishu ya kuchemsha injin?View attachment 2378727View attachment 2378730
Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022
Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya Nissan kuichomea Mitsubishi kuwa inadangany juu ya ulaji wa mafuta ya magari yake kwa kupunguza 15% juu ya matumizi halisi ya mafuta ya magari ya Mitsubishi (overstated the fuel economy of some vehicles by more than 15 percent),
Renault-Nissan-Mitsubishi Alliance
Baada ya kampuni ya nissan kuinunua Mitsubishi na kuwa jamii ya Renault-Nissan-Mitsubishi Alliance. Ma injinia wa Nissan na Mitsubishi wakaa pamoja wakadesign garinyenye kutumia technology ya Nissan X Trail na mitsubish na kuunda huyu mnyama mitsubishi outlander 2022. Gari hili wanashare technolojia na Nissan Xtrail new model na baadhi ya spare parts zinaingiliana.
View attachment 2378727
View attachment 2378729
View attachment 2378732
Kwa maelezo yao wamechukua vitu ambavyo soko limeipenda kuhusu Nissan Xtrail na mitsubish wakaviunganisha pamoja. Kwenye hilo gari utakuta technolojia ya Nissan, Mitusubish na renault. Ngoja tulipe muda lituonyeshe yaliyomo yamo au chengaMmh! Nissan Xtrail inachemsha balaaa sasa km jmmaa Wamejoin wakatuletea Mitsubishi outlander 2022 je watakuwa wamesolve ishubya kuchemsha injin?
Mkuu kuna hii Outlander PHEV, vipi hii tofauti yake na Common Outlander?? Details please.View attachment 2378727View attachment 2378730
Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022
Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya Nissan kuichomea Mitsubishi kuwa inadangany juu ya ulaji wa mafuta ya magari yake kwa kupunguza 15% juu ya matumizi halisi ya mafuta ya magari ya Mitsubishi (overstated the fuel economy of some vehicles by more than 15 percent),
Renault-Nissan-Mitsubishi Alliance
Baada ya kampuni ya nissan kuinunua Mitsubishi na kuwa jamii ya Renault-Nissan-Mitsubishi Alliance. Ma injinia wa Nissan na Mitsubishi wakaa pamoja wakadesign garinyenye kutumia technology ya Nissan X Trail na mitsubish na kuunda huyu mnyama mitsubishi outlander 2022. Gari hili wanashare technolojia na Nissan Xtrail new model na baadhi ya spare parts zinaingiliana.
View attachment 2378727
View attachment 2378729
View attachment 2378732
Inasimamia ngapi bei yake 0km?.
Pamoja na ushuru au nje ya ushuru kwa hio bei hapa bongo land?.Kuanzia $ 30k mpaka $36K inategemeana na namba za seat na features maana kuna 5 seats na 7 seats kibongo bongo kama mil 70 -mil 85. Tusubiri tu used kuanzia 2024
Pamoja na ushuru au nje ya ushuru kwa hio bei hapa bongo land?.
Daah hatari sana, lakini si ni hybrid hizo muda mwingine ukiwa nazo unatoa tu ukiwa umefumba macho.Apo ushuru bado mwaisaaa, ukitia ushuru hapo utakua unaongelea milion 120 huko