Kaka kwa kutoa ushauri tu!! ungetuwekea picha both za ndani na nje ya gari, ukaongeza na specifications kidogo na isingekuwa mbaya kama sisi wengine tungejua bei yake inaanzia kwenye mtindo gani!! hapo hizi picha zimepigwa kama vile mtu alikuwa ananyatia kupiga picha huku asionekane kwa mbali. tuonyeshe Cabin iko kwenye hali gani na wenye nazo lazima wataichangamkia tu. natoa ushauri tu kaka!!