Mitindo...

Hahahahahhahahaaa looh

Sikuzote nasemaga hakuna watu wabaya kama wafanyabiashara.... yeye anaangalia hapo auze nywele na makorokoro kibao yatumike mwilini mwako upendeze ama usipendeze yeye hajali. Uwe kituko ama sio kituko hajali.

Sasa hapo sijui ndo mfano wa camera ya video shooting au naniliu asumani msumeno aahahahahahahaaa a looh..

Hapo lazima kuna mti umewekwa kwa ndani kushikilia nywele laa sivyo zingedondoka chini. Nguvu ya uvutano isingekubali. ....

Au ndo jelly na lotabody imejazwa hapo na simenti juu.

Too much of anything is harmful.
 
Kama bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…