Mitihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitihani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Wings, May 16, 2011.

 1. W

  Wings Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mitihani ni kigezo kimojawapo kitumikacho katika kupima uelewa wa mwanafunzi. Mitihani imekuwa ikifanyika toka mwanafunzi toka mwanafunzi yuko ngazi za awali(std one) hadi anafika chuo kikuu. Mitihani imekuwa ikiwasaidia sana wazazi na walimu kujua uwezo wa watoto/wanafunzi wao kupitia ufaulu wao japo si kweli kuwa mwanafunzi akifeli basi hajui au akifaulu anajua sana. Hivi sasa maarifa kwa wanafunzi walio wengi yanapungua kwa kuwa wamekua wakisoma kwa ajili ya kufaulu mitihani tu(cramming). Chukulia mfano wa chuo kikuu kwa nini wasibuni njia mbadala ya kupima uuelewa wa wanavyuo wao na kuachana na dhana ya kutumia mitihani? Ni njia zipi mbadala ungeshauri zitumike hasa katika ngazi ya chuo kikuu katika kupima uelewa wa wanaosoma huko?
   
 2. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndo mana huwa kuna theory na practical! Practical means kwenda field kupractice ulichosoma darasani kutokana na kitu ulichospecialize! Sometimes cramming helps meeen! Ukifkiria kuna vitu kama supp na disco,,cramming inakuwa mpango mzima!
   
 3. N

  Nancy70 Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli inafika mahala umegraduate then hujui ht umesoma nini, sababu unasomea mitihani tu, but we need to change. wenzetu yaani developed countries wanachofanya mwanafunzi anapewa assignment then anaifanya kwa kutumia any topic of interest on that field/subject yaani lecturer anatoa mwongozo tu then wanafunzi wanafanya anyhow according to experience or kama anataka kujifunza anything new. nafikiri inasaidia, na kwa sababu mwanafunzi atakuwa ameamua anataka kujifunza nini so ita stick in mind.
   
 4. d

  damashizo Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Nashukuru sana wana jm forum kwa mjadala huu unaohusu mitihani . Tatizo la usomaji wa cramming kwaajiri ya mitihani ni sugu sana hapa tz lakini wanaochangia ni wote wanaotunga mitihani na wasomaji (wanafunzi wa ngazi husika). kama mtu anafundisha (lecturer) then anatunga mtihani ambao sio competence based but ni content based then wanafunzi husika watajibu mtihani ule kwa kutumia past papers zake na madesa yake lakini kama anatunga mitihani ambayo inapima uelewa wa mwanafunzi then no problem. Vilevile wanachuo au wanafunzi waamke na wasome kwa lengo la kuelewa na sio kwa lengo la kujibia mitihani hiki ndicho kinacho fanyika hata kwa wenzetu mamton
   
Loading...